Marekani yajisifu kuwapiga wahouthi wa yemen

Ni vile tu Biden hajawa serious ila hili jambo liko ndani ya uwezo wao kabisa.
Jibu ni kuwa Wazungu kwasasa wanaiyogopa Iran kuwa mkweli Marco polo anachokifadhili Iran ktk eneo angekuwa ni mwengine mchovu mchovu said si tungeona Nato wanagipia kama ngoma. Ona Iran kama ndio uchokozi meri za kijesh za marekani zimepigwa sio moja au mbili 2] meri za kibiashara zimezamishwa nyingi zikiwemo za mafuta 3] Ameshaipiga kambi za jesh la marekani tena mbili kutokea Iran adi Iraq zilipo. 4] Ameipiga Israel mala2 kutokea Iran moja kwa moja kwenda Israel lkn tena anaendelea kuipiga kutokea Yemen mojakwamoja kwenda Israel hizi Sababu azitoshi kwa wao kuungana kwenda Iran mbona inafikilisha sana akilini Je nakosea nikisema Wazungu wanaiyoga Iran,, Iraq ilipigwa sababu ndogo tu Libya ivyo ivyo sababu ndogo tu lkn Nato walienda kwanini uyu Iran mwenye makosa makubwa kiuchumu kuzuiya meri kuzitwanga atakama aziendi Israel kafunga njia!!!!! Kubwa zaid najipigia tu Israel inavyotaka. Wajomba wa jakobo wanalala kwenye mashimo kama jana mwaka mpya lkn watu wamekimbizana kwenye mashimo. Iran kwann anaopogwa tuweni wakweli???
 
Mkuu kumdhohofisha mtu sio lazima umshambulie moja kwa moja Kuna njia nyingi hiyo ya kushambulia ni option ya mwisho kabisa hata hivyo huwez kukurupuka tu ukasema unaenda kuishambulia nchi flani lazima kuwe na sababu Tena maalum unaona hata Gaza,Lebanon sio kwamba IDF walikuwa wanashindwa kushambulia Bali walikuwa wanatafuta sababu maalum ya kufanya hivyo na walipopata sababu watu wakaingia kazini.

Kama umeifuatilia vizur Iran siku za hivi karibuni utagundua kwamba wamekuwa wapole sana na wanaonekana kupenda majadiliano zaidi kuliko vita.
 
Kuhusu sababu maalum Israel na USA ilishazipata muda sana.
Kitendo cha Iran kufadhili Hizbollah ni sababu moja toshelezi sana ya kuivamia Iran.
Pia kitendo cha Iran kushambulia directly Israel kwa makombora ni sawa na Iran ku declare full out war.
Hizo ni sababu tosha sana kwa Israel ama USA kushambulia Iran.

Iran kuwa wapole na kupenda sana majadiliano haimaanishi kuwa wamedhoofika.
Iran hawatabiriki mkuu.
Ila sera za rais mpya ni kutafuta uumgwaji mkono wa kimataifa ili kuondoa vikwazo vya kiuchumi Iran.
Ndio maana hata shambulio la Oktoba alililazimisha Ayatollah hakuliidhinisha Masoud Peshzikian.
 
Back
Top Bottom