Uko ndio kwenye mzizi mleeeefu wanamuogopa wazungu wote awataki wanakwambia SUMU aiyonjwi!!!!Middle East yoyote anajipigia tu
Jibu ni kuwa Wazungu kwasasa wanaiyogopa Iran kuwa mkweli Marco polo anachokifadhili Iran ktk eneo angekuwa ni mwengine mchovu mchovu said si tungeona Nato wanagipia kama ngoma. Ona Iran kama ndio uchokozi meri za kijesh za marekani zimepigwa sio moja au mbili 2] meri za kibiashara zimezamishwa nyingi zikiwemo za mafuta 3] Ameshaipiga kambi za jesh la marekani tena mbili kutokea Iran adi Iraq zilipo. 4] Ameipiga Israel mala2 kutokea Iran moja kwa moja kwenda Israel lkn tena anaendelea kuipiga kutokea Yemen mojakwamoja kwenda Israel hizi Sababu azitoshi kwa wao kuungana kwenda Iran mbona inafikilisha sana akilini Je nakosea nikisema Wazungu wanaiyoga Iran,, Iraq ilipigwa sababu ndogo tu Libya ivyo ivyo sababu ndogo tu lkn Nato walienda kwanini uyu Iran mwenye makosa makubwa kiuchumu kuzuiya meri kuzitwanga atakama aziendi Israel kafunga njia!!!!! Kubwa zaid najipigia tu Israel inavyotaka. Wajomba wa jakobo wanalala kwenye mashimo kama jana mwaka mpya lkn watu wamekimbizana kwenye mashimo. Iran kwann anaopogwa tuweni wakweli???Ni vile tu Biden hajawa serious ila hili jambo liko ndani ya uwezo wao kabisa.
Mkuu kumdhohofisha mtu sio lazima umshambulie moja kwa moja Kuna njia nyingi hiyo ya kushambulia ni option ya mwisho kabisa hata hivyo huwez kukurupuka tu ukasema unaenda kuishambulia nchi flani lazima kuwe na sababu Tena maalum unaona hata Gaza,Lebanon sio kwamba IDF walikuwa wanashindwa kushambulia Bali walikuwa wanatafuta sababu maalum ya kufanya hivyo na walipopata sababu watu wakaingia kazini.Jibu ni kuwa Wazungu kwasasa wanaiyogopa Iran kuwa mkweli Marco polo anachokifadhili Iran ktk eneo angekuwa ni mwengine mchovu mchovu said si tungeona Nato wanagipia kama ngoma. Ona Iran kama ndio uchokozi meri za kijesh za marekani zimepigwa sio moja au mbili 2] meri za kibiashara zimezamishwa nyingi zikiwemo za mafuta 3] Ameshaipiga kambi za jesh la marekani tena mbili kutokea Iran adi Iraq zilipo. 4] Ameipiga Israel mala2 kutokea Iran moja kwa moja kwenda Israel lkn tena anaendelea kuipiga kutokea Yemen mojakwamoja kwenda Israel hizi Sababu azitoshi kwa wao kuungana kwenda Iran mbona inafikilisha sana akilini Je nakosea nikisema Wazungu wanaiyoga Iran,, Iraq ilipigwa sababu ndogo tu Libya ivyo ivyo sababu ndogo tu lkn Nato walienda kwanini uyu Iran mwenye makosa makubwa kiuchumu kuzuiya meri kuzitwanga atakama aziendi Israel kafunga njia!!!!! Kubwa zaid najipigia tu Israel inavyotaka. Wajomba wa jakobo wanalala kwenye mashimo kama jana mwaka mpya lkn watu wamekimbizana kwenye mashimo. Iran kwann anaopogwa tuweni wakweli???
Kuhusu sababu maalum Israel na USA ilishazipata muda sana.Mkuu kumdhohofisha mtu sio lazima umshambulie moja kwa moja Kuna njia nyingi hiyo ya kushambulia ni option ya mwisho kabisa hata hivyo huwez kukurupuka tu ukasema unaenda kuishambulia nchi flani lazima kuwe na sababu Tena maalum unaona hata Gaza,Lebanon sio kwamba IDF walikuwa wanashindwa kushambulia Bali walikuwa wanatafuta sababu maalum ya kufanya hivyo na walipopata sababu watu wakaingia kazini.
Kama umeifuatilia vizur Iran siku za hivi karibuni utagundua kwamba wamekuwa wapole sana na wanaonekana kupenda majadiliano zaidi kuliko vita.