feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Bia yetu jipange kisaikolojia ARV unazobugia zitaadimika.
Kwaheri USA mmeitesa sana dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaheri USA mmeitesa sana dunia
Bia yetu jipange kisaikolojia ARV unazobugia zitaadimika.
Wewe mbna unaleta balaa acha hizo
Hahahahhah uzuri mkuu wewe hua huna hasira...nimekutania tu boss.
Ila nini mzee hapo lumumba kama kuna kazi hata ya kufagia nifanyie connectoon hali tete mtaani huku.
Nazihurumia nchi zinazotegemea misaada hadi kwenye bajeti zake,Mawakala wa Mabeberu wanachanika msamba sasa
Hawajui wawe upande upi
mawakala wa kina nani ?Mawakala wa Mabeberu wanachanika msamba sasa
Hawajui wawe upande upi
kwenye hilo kapu tupo wengi tu hasa wa Kusini mwa Jangwa la SaharaNazihurumia nchi zinazotegemea misaada hadi kwenye bajeti zake,
Hili ni pigo kubwa sana kwa WHO na dunia nzima, the consequences shall be felt all over the worldRais wa Marekani Bwana Donald Trump leo ametangaza nchi yake kujitoa rasmi shirika la afya Duniani.
hahahahaaa eti fake president, yaani nimecheka sanaOnly for five months. Biden will rectify this mistake by this FAKE President in November, 2020.
Nani kakwambia Urusi ni nchi maskini? Mwenye foreign reserve ya dola bilioni 433.1 (hii ni mpaka march 2020) ni maskini ? Acha kuotaUrusi hana cha kufanya kwa sababu ni nchi masikini.
Trump is there to stay.
Wapiga ramli mtapiga sana ila mshikaji yuko pale hadi 2024.
hili nalo ni neno, Marekani bado anabaki kuwa mwamba duniani kutokana na anayoyafanyaWewe chekelea ilhali ndugu zako huko kwa mtongole ndio wataumia, maana huyo muajemi na mwarabu ambao huwa unawashobokea kisa dini hamna siku hata moja watakusaidia wewe au ndugu zako, wale ni wagumu na wabaguzi kupita maaelezo, huyu Marekani unapenda kumponda na kula kutoka kwenye sahani yake kwa wakati mmoja.
Mambo yao wenyewe ? Uamuzi huu ni mbaya na unatuhusu sana tu. Hata yule anayeishi Namtumbo (Ruvuma), Bamako (Mali) , au Laos (Asia) hakwepi kwenye kapu hili. China by far bado hajawa tayari kuvaa majukumu aliyonayo Marekani kwa level ya duniaPigeni kazi!! Hao waacheni na mambo yao wenyewe
Misaada mingo tu ya afya haitoki WHOMambo yao wenyewe ? Uamuzi huu ni mbaya na unatuhusu sana tu. Hata yule anayeishi Namtumbo (Ruvuma), Bamako (Mali) , au Laos (Asia) hakwepi kwenye kapu hili. China by far bado hajawa tayari kuvaa majukumu aliyonayo Marekani kwa level ya dunia
Sawa acha wajitoe tu, nchi zote duniani zikitoa 200M or 300M kwa mwaka ni matrion ya kutosha kuzidi ya USA
India ni manufacturer tu, USA kupitia USAID na global fund ndio wanaonunua kutoka India na kuleta huku sub Saharan AfricaTaifa linaloongoza kutoa msaada wa ARV na vifaa vya maabara ni India, inayotoa asilimia 65% ya dawa zote zinazoonekana Tanzania.
na US itapoteza ushawishi katika maamuzi ya maswala ya kiafya dunianiWachina watachukua nafasi ya US katika funding biashara imekwisha
Sasa hivi yanakuja majamvi kwa hisani ya watu wa pwaniKwahiyo hata zile net, kwa udhamini wa USAid ndio basi tena![emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Na mabusha je yatakuja kwa hisani ya watu wa Tanga?!Sasa hivi yanakuja majamvi kwa hisani ya watu wa pwani