Kwahiyo wazungu wanatupenda sana waafrika?Hapo sasa ndio umeanza kuongea cha maana, miafrika tuchape kazi na kuacha kuwalalamikia wazungu, wametusaidia sana ila ifike wakati tuamue kupambana na hali yetu, halafu hao waarabu hata mkivaa mikanzu yao, uote mindevu na kufuata dini yao hutaona wakija kukusidia, wanakubagua bila huruma, kwanza thubutu kuchumbia kwao, eti Msukuma na weusi wote huo itokee umempenda mwanamke wa kiarabu kisa wewe ni mvaa kanzu kama wao, utakoma ubishi.
Hela chafu maanake ninj mkuu?Tanzania will take over her position. Nchi yetu kipindi hiki ina hela chafu haijawahi tokea tangu kuanzishwa kwa taifa.
Ukale mavumbi ya kijani kabisaaaaa!Hahahahhah uzuri mkuu wewe hua huna hasira...nimekutania tu boss.
Ila nini mzee hapo lumumba kama kuna kazi hata ya kufagia nifanyie connectoon hali tete mtaani huku.
Ukale mavumbi ya kijani kabisaaaaa!