T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Wakati mwingine hatuna budi kuomba radhi kufupisha stori mkuuKama uliniona na ukathibitisha pasi na wasiwasi kwamba nalia Lia, kwa Nini uniombe msamaha? Unaniogopa ama?
Kuhusu kukuogopa why not? Kuna kiumbe anatisha kuliko binadamu?