T11 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2017 Posts 5,101 Reaction score 4,560 Sep 17, 2020 #21 Mnyenz said: Kama uliniona na ukathibitisha pasi na wasiwasi kwamba nalia Lia, kwa Nini uniombe msamaha? Unaniogopa ama? Click to expand... Wakati mwingine hatuna budi kuomba radhi kufupisha stori mkuu Kuhusu kukuogopa why not? Kuna kiumbe anatisha kuliko binadamu?
Mnyenz said: Kama uliniona na ukathibitisha pasi na wasiwasi kwamba nalia Lia, kwa Nini uniombe msamaha? Unaniogopa ama? Click to expand... Wakati mwingine hatuna budi kuomba radhi kufupisha stori mkuu Kuhusu kukuogopa why not? Kuna kiumbe anatisha kuliko binadamu?
Mnyenz JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 2,933 Reaction score 8,112 Sep 17, 2020 #22 T11 said: Wakati mwingine hatuna budi kuomba radhi kufupisha stori mkuu Click to expand... Kwa hiyo umeanzisha ligi ambayo unaamini hautoiweza?
T11 said: Wakati mwingine hatuna budi kuomba radhi kufupisha stori mkuu Click to expand... Kwa hiyo umeanzisha ligi ambayo unaamini hautoiweza?
T11 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2017 Posts 5,101 Reaction score 4,560 Sep 17, 2020 #23 Mnyenz said: Kwa hiyo umeanzisha ligi ambayo unaamini hautoiweza? Click to expand... Lakini ujumbe unakua umefika Ndio uzuri wake
Mnyenz said: Kwa hiyo umeanzisha ligi ambayo unaamini hautoiweza? Click to expand... Lakini ujumbe unakua umefika Ndio uzuri wake
MtamaMchungu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 8,974 Reaction score 12,662 Sep 17, 2020 #24 Kawaida.... kwani hapa wasioujilakana wakijulikana nini kinatokea? Ghafla wanageuka "walikuja kujaza mafuta"
Kawaida.... kwani hapa wasioujilakana wakijulikana nini kinatokea? Ghafla wanageuka "walikuja kujaza mafuta"
Mnyenz JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 2,933 Reaction score 8,112 Sep 17, 2020 #25 T11 said: Lakini ujumbe unakua umefika Ndio uzuri wake Click to expand... Lakini ukituma ujumbe, itakubidi uwe tayari na kwa majibu au sio? Sasa wewe umetuma ujumbe, majibu yanataka kuja unaanza kuomba msamaha! Nikikuita wewe ndo wa kulia Lia ntakua nimekosea? Maana ni Kama umenirushia ngumi halafu unasema hutaki ugomvi. BTW sisi sote ni ndugu, peace n' love
T11 said: Lakini ujumbe unakua umefika Ndio uzuri wake Click to expand... Lakini ukituma ujumbe, itakubidi uwe tayari na kwa majibu au sio? Sasa wewe umetuma ujumbe, majibu yanataka kuja unaanza kuomba msamaha! Nikikuita wewe ndo wa kulia Lia ntakua nimekosea? Maana ni Kama umenirushia ngumi halafu unasema hutaki ugomvi. BTW sisi sote ni ndugu, peace n' love
P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,422 Reaction score 6,108 Sep 17, 2020 #26 Marekani ni magaidi original
Omulasil JF-Expert Member Joined May 5, 2015 Posts 8,015 Reaction score 10,269 Sep 17, 2020 #27 Thats spy law.