Marekani yakubaliana Israel kuitwaa Gaza na kuwatimua Wapalestina. Je wataweza au ni tamaa ya kusiklizwa na ndoto za Trump?

Yani icho kitu watakifanya na hakuna kitu raia wa Nchi za kiarabu watafanya. Wameshuhudia Mpalestina qkiuliwa mwaka na zaidi hakuna aliethubutu kuingilia, Leo ndio hao hao Israel inawaambia wachukue watu wao (Misri, Jordan)
 
Ukiangalia zile video za 7 October, huruma kwa Palestine inapotea.
Zile ni Horrific moment ambazo Hamas walifanya.
So, Both team to score.
Ubaya haulipwi Kwa Ubaya, Matendo ya Hamas si matendo ya population nzima ya wapalestina. Mimi ni Mkristo lakini nakiri Netanyahu ni Hitler mwingine kabisa. Ni mkatili hujawahi kuona
 
Trump kichaa!
 
Ubaya haulipwi Kwa Ubaya, Matendo ya Hamas si matendo ya population nzima ya wapalestina. Mimi ni Mkristo lakini nakiri Netanyahu ni Hitler mwingine kabisa. Ni mkatili hujawahi kuona
Palestine nzima ilifurahia tukio la October 7.
 
Palestine nzima ilifurahia tukio la October 7.
Vivyo hivyo Wajerumani walifurahi matendo ya NAZI haimaanishi walishuriku mauaji. Hata M23 Kuna raia wanaowashabikia Kwa sababu ya mitazamo kua wanawalinda lakini Kwa upande wa Kongo watu wanakufa, raia wasio na hatia
 
Labda nikueleweshe; swala la Gaza sio la Netanyahu, bali ni swala la Taifa la Israel.
 
Huu ni wendawazimu
 
Na hapo bado! Akili zitawakaa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…