MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
watu 48,000/= ? aisee
noma sana
noma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani icho kitu watakifanya na hakuna kitu raia wa Nchi za kiarabu watafanya. Wameshuhudia Mpalestina qkiuliwa mwaka na zaidi hakuna aliethubutu kuingilia, Leo ndio hao hao Israel inawaambia wachukue watu wao (Misri, Jordan)Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu.
Je, ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya?
Eti anataka awahamishie kwenye nchi nyingine ili apajenge papendeze. Je wapalestina ni mazwazwa wakubaliane na ujinga wa wazi wazi kama huu?
Je hawa wendawazimu wawili Netanyahu na Trump wataweza kukamilisha jinai hii ndani ya miaka minne ambayo kichaa Trump anayo ofisi au kabla kwa sababu ugonjwa wake wa akili unaweza kufumka wakati wowote?
Ubaya haulipwi Kwa Ubaya, Matendo ya Hamas si matendo ya population nzima ya wapalestina. Mimi ni Mkristo lakini nakiri Netanyahu ni Hitler mwingine kabisa. Ni mkatili hujawahi kuonaUkiangalia zile video za 7 October, huruma kwa Palestine inapotea.
Zile ni Horrific moment ambazo Hamas walifanya.
So, Both team to score.
Trump kichaa!Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu.
Je, ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya?
Eti anataka awahamishie kwenye nchi nyingine ili apajenge papendeze. Je wapalestina ni mazwazwa wakubaliane na ujinga wa wazi wazi kama huu?
Je hawa wendawazimu wawili Netanyahu na Trump wataweza kukamilisha jinai hii ndani ya miaka minne ambayo kichaa Trump anayo ofisi au kabla kwa sababu ugonjwa wake wa akili unaweza kufumka wakati wowote?
Trump kichaa!Tuliwaambia humu Trump ataimarisha agano kati ya Israel na US watu wakabisha sana
Palestine nzima ilifurahia tukio la October 7.Ubaya haulipwi Kwa Ubaya, Matendo ya Hamas si matendo ya population nzima ya wapalestina. Mimi ni Mkristo lakini nakiri Netanyahu ni Hitler mwingine kabisa. Ni mkatili hujawahi kuona
Ulimwambia nani? Thibitisha.Niliwaambia baadhi ya Wanamgambo wa hapa JF huyo Trump mnayemshangilia ndiye aliyeitambua Jerusalemu kama mji mkuu wa Israel. Oh unajua nini wewe kuhusu Mashariki ya kati. Mnaona sasa.
Vivyo hivyo Wajerumani walifurahi matendo ya NAZI haimaanishi walishuriku mauaji. Hata M23 Kuna raia wanaowashabikia Kwa sababu ya mitazamo kua wanawalinda lakini Kwa upande wa Kongo watu wanakufa, raia wasio na hatiaPalestine nzima ilifurahia tukio la October 7.
Labda nikueleweshe; swala la Gaza sio la Netanyahu, bali ni swala la Taifa la Israel.Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu.
Je, ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya?
Eti anataka awahamishie kwenye nchi nyingine ili apajenge papendeze. Je wapalestina ni mazwazwa wakubaliane na ujinga wa wazi wazi kama huu?
Je hawa wendawazimu wawili Netanyahu na Trump wataweza kukamilisha jinai hii ndani ya miaka minne ambayo kichaa Trump anayo ofisi au kabla kwa sababu ugonjwa wake wa akili unaweza kufumka wakati wowote?
Kwani nani anaongoza na kuaamuru majeshsi ya Israel?Labda nikueleweshe; swala la Gaza sio la Netanyahu, bali ni swala la Taifa la Israel.
Huu ni wendawazimuKuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu.
Je, ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya?
Eti anataka awahamishie kwenye nchi nyingine ili apajenge papendeze. Je wapalestina ni mazwazwa wakubaliane na ujinga wa wazi wazi kama huu?
Je hawa wendawazimu wawili Netanyahu na Trump wataweza kukamilisha jinai hii ndani ya miaka minne ambayo kichaa Trump anayo ofisi au kabla kwa sababu ugonjwa wake wa akili unaweza kufumka wakati wowote?
Na hapo bado! Akili zitawakaa sawaKuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu.
Je, ataweza au ndo mgogoro unaanza upya? Je tangu lini Trump akawaonea huruma wanadamu wenzake badala ya kuwaibia na kuwanyonya?
Eti anataka awahamishie kwenye nchi nyingine ili apajenge papendeze. Je wapalestina ni mazwazwa wakubaliane na ujinga wa wazi wazi kama huu?
Je hawa wendawazimu wawili Netanyahu na Trump wataweza kukamilisha jinai hii ndani ya miaka minne ambayo kichaa Trump anayo ofisi au kabla kwa sababu ugonjwa wake wa akili unaweza kufumka wakati wowote?
Nani hao? Kwanini hamjui kuwa Netanyahu anahagaika kubaki madarakani asifungwe?Na hapo bado! Akili zitawakaa sawa
Gaza ni eneo la Israel.
GOD BLESS ISRAEL
alisema kanye west Lord, please let them accept the things they can't change...Gaza ni eneo la Israel.
GOD BLESS ISRAEL