Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Marekani yalalamika kuwa eti Urusi imetumia droni za Iran kushambulia na kuzichoma ngome za kijeshi za Ukraine zilizopo karibu na bandari ya Odesa usiku wa kuamkia leo.
Jeshi la Ukraine lasikitika kuwa mashambulio hayo ya droni za Muajemi pia yameunguza maghala ya silaha za jeshi la Ukraine.
Mwambieni Biden aache kulialia, mbona kishaipatia Ukraine NASAMS (ule mfumo wa anga tunaoambiwa eti utailinda Ukraine😆😆🤣😇😇 )? Watumie NASAMS kujilinda na moto wa droni hizo za muajemi! Na kama vipi watumie pia HIMARS 😅😅😅
====