Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
- Thread starter
- #21
Endelea kuteseka Mkuu, mie jukumu langu ni kukusukumia dawa tu💉💉💉💉💉💉💉💉!Hawakulalamika bali wameripoti tukio. In fact drone hizo sasa hivi zimekuwa zinaangushwa kama mbayuwayu.
Ikumbukwe kwamba mwaka 2011 kuna drone moja ya Marekani ilianguka huko Irani wakaikota nzima nzima na kuanza kuikopi. Hizo ndiyo matokeo ya reverse engineering ile.
Marekani yenyewe (The Wall Street Journal) yaripoti kuwa droni za Iran zimekuwa pasua kichwa kwa jeshi la Ukraine, halafu wewe myUkraine wa hapo Kibaigwa waleta stori za kuungaunga na kujifaiji, kaongopeane na wenzio huko kwenye vijiwe vya kahawa!