Marekani yalalamika kuwa Urusi imetumia droni za Iran kuangamiza ngome za jeshi la Ukraine karibu na bandari ya Odesa

Marekani yalalamika kuwa Urusi imetumia droni za Iran kuangamiza ngome za jeshi la Ukraine karibu na bandari ya Odesa

Hawakulalamika bali wameripoti tukio. In fact drone hizo sasa hivi zimekuwa zinaangushwa kama mbayuwayu.

Ikumbukwe kwamba mwaka 2011 kuna drone moja ya Marekani ilianguka huko Irani wakaikota nzima nzima na kuanza kuikopi. Hizo ndiyo matokeo ya reverse engineering ile.
Endelea kuteseka Mkuu, mie jukumu langu ni kukusukumia dawa tu💉💉💉💉💉💉💉💉!

Marekani yenyewe (The Wall Street Journal) yaripoti kuwa droni za Iran zimekuwa pasua kichwa kwa jeshi la Ukraine, halafu wewe myUkraine wa hapo Kibaigwa waleta stori za kuungaunga na kujifaiji, kaongopeane na wenzio huko kwenye vijiwe vya kahawa!

Screenshot_20220926-163904_Chrome.jpg
 
safi sana Iran

tawanyisha intestines za mahanisi hao , wakitoka hapo ni mwendo wa kuvaa dayapaz tu
 
Hawakulalamika bali wameripoti tukio. In fact drone hizo sasa hivi zimekuwa zinaangushwa kama mbayuwayu.

Ikumbukwe kwamba mwaka 2011 kuna drone moja ya Marekani ilianguka huko Irani wakaikota nzima nzima na kuanza kuikopi. Hizo ndiyo matokeo ya reverse engineering ile.
Mkuu punguza uongo iliyo kamatwa kipindi hicho ilikuwa ni ndege ya kijasusi na hizi ni ndege za mashambulizi kwa hiyo hizo ni drone mbili tofauti.
 
Mkuu punguza uongo iliyo kamatwa kipindi hicho ilikuwa ni ndege ya kijasusi na hizi ni ndege za mashambulizi kwa hiyo hizo ni drone mbili tofauti.
Basi huenda hujui maana ya drone Iwapo unasema moja na ya kijasusi na nyingine ni ya mashamabulizi. Drone ni drone tu, ukiwekea camera itafanya ujasusi, na ukiweekea silaha itafanya mashambulizi. Hizor drones za Kimarekani ndizo zinazofanya mashamabulizi na vile vile kufanya ujasuzi. Inategema na mission tu.
 
Back
Top Bottom