Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Tulia dawa ipenye Mkuu...... "Marekani yalalamika"? Rudi shule.
... nimejaribu kutafuta neno "lalamika" ulilotumia kwenye heading or synonym kwenye habari sijaliona? Labda "yalalamika" ulimaanisha "warns"? Au "vowed"?Tulia dawa ipenye Mkuu...
Huyuu hata akienda shule hatambulia kitu.... "Marekani yalalamika"? Rudi shule.
Kwa iyo leo umeiamini source kutoka los Angeles Times?Marekani yalalamika kuwa eti Urusi imetumia droni za Iran kushambulia na kuzichoma ngome za kijeshi za Ukraine zilizopo karibu na bandari ya Odesa usiku wa kuamkia leo.
Jeshi la Ukraine lasikitika kuwa mashambulio hayo ya droni za Muajemi pia yameunguza maghala ya silaha za jeshi la Ukraine.
Mwambieni Biden aache kulialia, mbona kishaipatia Ukraine NASAMS (ule mfumo wa anga tunaoambiwa eti utailinda Ukraineπππ€£ππ )? Watumie NASAMS kujilinda na moto wa droni hizo za muajemi! Na kama vipi watumie pia HIMARS π π π
====
View attachment 2368701
View attachment 2368704
... ha ha ha! bure kabisa!Huyuu hata akienda shule hatambulia kitu.
Habari nizipendazoπ€£Marekani yalalamika kuwa eti Urusi imetumia droni za Iran kushambulia na kuzichoma ngome za kijeshi za Ukraine zilizopo karibu na bandari ya Odesa usiku wa kuamkia leo.
Jeshi la Ukraine lasikitika kuwa mashambulio hayo ya droni za Muajemi pia yameunguza maghala ya silaha za jeshi la Ukraine.
Mwambieni Biden aache kulialia, mbona kishaipatia Ukraine NASAMS (ule mfumo wa anga tunaoambiwa eti utailinda Ukraineπππ€£ππ )? Watumie NASAMS kujilinda na moto wa droni hizo za muajemi! Na kama vipi watumie pia HIMARS π π π
====
View attachment 2368701
View attachment 2368704
Mkuu endelea kujifunza kiingereza kwa 'tafsiri sisisi'!... nimejaribu kutafuta neno "lalamika" ulilotumia kwenye heading or synonym kwenye habari sijaliona? Labda "yalalamika" ulimaanisha "warns"? Au "vowed"?
... neither word to word interpretation nor the context of what you have posted reflects the message the heading is trying to convey!Mkuu endelea kujifunza kiingereza kwa 'tafsiri sisisi'!
Wenzako level hiyo tulishaondoka kitambo...
Kipindi zinaingia pronato waliziponda sana sasa hivi zipo zina wahenyesha kweli kweli. IHizo drone kama hazitadhibitiwa mapema zinaweza kupeleka kiama kwa Ukraine
Dada Chuma mchicha sindano ipenye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... "Marekani yalalamika"? Rudi shule.
Dada wenzako wanapikia waume zao mda huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... neither word to word interpretation nor the context of what you have posted reflects the message the heading is trying to convey!
... aisee! Ndio zako kuchuma michicha? Naona umeamua kujiweka hadharani; hili jukwaa sio mahali pake.Dada Chuma mchicha sindano ipenye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Na utelezi kwa pembeni usisahau ππTaarifa nizipendazo hizi. Acha nishushie coolcola hapa kwanza ππ
Hawakulalamika bali wameripoti tukio. In fact drone hizo sasa hivi zimekuwa zinaangushwa kama mbayuwayu.Marekani yalalamika kuwa eti Urusi imetumia droni za Iran kushambulia na kuzichoma ngome za kijeshi za Ukraine zilizopo karibu na bandari ya Odesa usiku wa kuamkia leo.