Marekani yaomba Ceasefire kwa masaa 48, Iran yakataa


Mtu mweusi laana kaka 🤣🤣🤣
So wasio support kobazi wana laana 😁🤔, inaonekana kuangusha ndege moja kati ya maelfu zinazoingia na kutoka kila siku ni ushindi mkubwa sana, Iran uwezo mdogo sana hana uwezo kupigana hii vita, na kwa sasa hana Air Force or Navy kila kitu kimegeuzwa mchanga
 
Mtu ambaye hawezi hata kutengezea toothpick anawasema weak Iran,nchi ambayo inayopigana na Super power + Israel kwa zaidi ya mwezi sasa,

Hivi kwanini hua mnapenda kujitoa ufahamu? Au ndio kutawaliwa na mahaba niue mpaka mnajigeuza kua mazuzu?
Uwezo mdogo sana Iran, mnalishwa chai na maandazi tuu nyie
 
Kwamba tweet ya chawa mmoja anayejiita "Iran Observer" ndiyo chanzo cha taarifa ya kuaminika??
 
wameingia ndani ya Iran wakachukua pilot wa ndege iliyoangushwa, kobazi very weak 😂
wameingia kwa maduro wamemchukua maduro mkuu, kobazi very weak? ama inategemea
 
Kumbe ujinga wote huu unaouonyesha hapa umesababishwa na chuki ya udini?

Hujui kitu kuhusu hii vita,ni bora tu upige kimya ili usiendelee kujiaibisha hapa.
 
Kabisa mnaamini US kamwomba Iran ceasefire😁 na mnataka na sisi tuamini, hamna akili nyie
 
Acha umbea Trump leo ametoa masaa 48 Hormuz ifunguliwe lasivyo kuna hellfire itamwagika Iran nahakutakua na deal anymore
 
Ni ujinga na upumbavu kuamini habari hizi. Kuna akili za watu bado zinaamini Iran inaweza kuipiga Marekani..

Mtu kaua viongozi wote.. Iran kashindwa kuwalinda viongozi wake.

Neno la mwisho la Marehemu ninalokumbuka ni "Nitazamisha meli za Marekani chini kabisa kwenye Uwanja wa mchanga.."
 
Una akili timamu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…