eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Do you know the meaning of having the alternative route??Mvua kwenu ikinyesha kidogo shughuli zote zinakwama, nyie bana. Sasa hivi kuna jamaa zangu walikua wanasafiri kwenda Morogoro kutokea Dar, barabara kuu imezibwa kabisa imebidi wapitie Tegeta kuitafuta Chalinze. Hamujajiandaa kabisa, barabara kuu ya Morogoro ndio imeunganisha Dar na mikoa muhimu....
Duniani kote iko hivyo, maintaining the stand by solution. Njia ya Msata ndiyo mbadala.