Do you know the meaning of having the alternative route??Mvua kwenu ikinyesha kidogo shughuli zote zinakwama, nyie bana. Sasa hivi kuna jamaa zangu walikua wanasafiri kwenda Morogoro kutokea Dar, barabara kuu imezibwa kabisa imebidi wapitie Tegeta kuitafuta Chalinze. Hamujajiandaa kabisa, barabara kuu ya Morogoro ndio imeunganisha Dar na mikoa muhimu....
Daraja la kiluvya limevunjika hamna namna ni kupita msata tuKha! Bus la Aboud limerudi Ubungo.....
Itakuwa wanafanya sightseeing.Kha! Bus la Aboud limerudi Ubungo.....
Usicheke maana wanaacha barabara nzuri na shortcut ya kutoka mbezi kwa msuguli kupitia salasala mpaka mbezi beach, wao wanaenda ubungo sijui kufuata nini!!!????Hehehe haya bana...