Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Marekani tayari ina jumla ya askari 400,000 maeneo ya mashariki ya kati pamoja na meli kadhaa za kivita zilizowasili hivi karibu muda mfupi kabla Israel kuanza mashambulizi makali nchini Lebanon.
Pamoja na hivyo wizara ya ulinzi ya Marekani imesema itaongeza askari siku chache zijazo ili kuwa tayari kuwaokoa raia zao piandi mapigano baina ya Israel na Lebanon yakisambaa zaidi.
Wakati huo huo waziri mkuu wa Lebanon Mikhali Mikati ameamua kuakhirisha safari yake ya UNO ili kubaki nyumbani kuangalia mapambano yanavyoendelea.