Bado hamjasemaMarekani tayari ina jumla ya askari 400,000 maeneo ya mashariki ya kati pamoja na meli kadhaa za kivita zilizowasili hivi karibu muda mfupi kabla Israel kuanza mashambulizi makali nchini Lebanon,
Pamoja na hivyo wizara ya ulinzi ya Marekani imesema itaongeza askari siku chache zijazo ili kuwa tayari kuwaokoa raia zao piandi mapigano baina ya Israel na Lebanon yakisambaa zaidi.
Wakati huo huo waziri mkuu wa Lebanon ameondoka kwa ghafla nchini kuelekea New York ili kupeleka malalamiko ya nchi yake kuvamiwa na Israel.
Unazungumzia kichwa kipi?Kwa hiyo Israeli ndiyo wachokozi?Kichwa cha kufugia nywele hicho.
Kichwa cha FUSO.Unazungumzia kichwa kipi?
Mkia wa nyegereKichwa cha FUSO.
Bado hatujasema au bado Israel haijasema!??Bado hamjasema
Ndugu ukiona serekali ya Lebanon inalalamika ujuwe Israel hana jipya katumwa na israel, serekali ya Lebanon haswa PM na FM ni mapuppet wa US wanafanya hayo kwa faida ya Israel.Jeshi la US wako mle zamani ni waongo wanaogopa wamesha julikana sa wanajidai wamenda okoa raia zao ni uwongo mtupu. Israel wamenda kubali tune kwanza walijidai wanaenda kuweka mto Latin safe zone ndani ya Lebanon sa wameona moto wanadai sisi hatutaki Hezbullah awasaidie Hamas tutasimamisha vita 😄Marekani tayari ina jumla ya askari 400,000 maeneo ya mashariki ya kati pamoja na meli kadhaa za kivita zilizowasili hivi karibu muda mfupi kabla Israel kuanza mashambulizi makali nchini Lebanon.
Pamoja na hivyo wizara ya ulinzi ya Marekani imesema itaongeza askari siku chache zijazo ili kuwa tayari kuwaokoa raia zao piandi mapigano baina ya Israel na Lebanon yakisambaa zaidi.
Wakati huo huo waziri mkuu wa Lebanon Mikhali Mikati ameamua kuakhirisha safari yake ya UNO ili kubaki nyumbani kuangalia mapambano yanavyoendelea.
U.S. to send troops to be ready to help evacuate U.S. citizens from Lebanon
Sawa sawaNdugu ukiona serekali ya Lebanon inalalamika ujuwe Israel hana jipya katumwa na israel, serekali ya Lebanon haswa PM na FM ni mapuppet wa US wanafanya hayo kwa faida ya Israel.Jeshi la US wako mle zamani ni waongo wanaogopa wamesha julikana sa wanajidai wamenda okoa raia zao ni uwongo mtupu. Israel wamenda kubali tune kwanza walijidai wanaenda kuweka mto Latin safe zone ndani ya Lebanon sa wameona moto wanadai sisi hatutaki Hezbullah awasaidie Hamas tutasimamisha vita 😄
Israel hana target zaidi ya kuvunja majumba zaidi ya hapo hana lingine kuhusu Miltary Target hana chochote lakini Hezbullah anaxo target nyingi sana zakupiga
Hapeleki kikosi cha kuokoa raia bali anatanguliza askari kusaidia vimada wakeMarekani akikimbiza raia zake wakabaki Israel peke yao ndio tutasema
Kila mtu na rafikiye mkuuBado hatujasema au bado Israel haijasema!??
Si ana ubavu mbona kutegemea msaada kwa USA??
Sasa Israel ni kama mtoto sio rafiki tena.Kila mtu na rafikiye mkuu
Umetoka masjid au bado?soma vizuri ni hv USA yeye anataka kuondoa raia wake tu ili awaache wenyewe israel na hao mbwa wa kiisalamu magaidi wapelekewe moto sasa wapi israel kaomba msaadaBado hatujasema au bado Israel haijasema!??
Si ana ubavu mbona kutegemea msaada kwa USA??
Ona ulivyo huna akili!!Umetoka masjid au bado?soma vizuri ni hv USA yeye anataka kuondoa raia wake tu ili awaache wenyewe israel na hao mbwa wa kiisalamu magaidi wapelekewe moto sasa wapi israel kaomba msaada