kwamba bila mtumba utoboiKama hawajapiga marufuku Mitumba kuingia Tanzaniasio tatizo...hayo mengine hayatuhusu
Sio sitoboi tu, nani anataka kuvaa manguo ya dukani yamefanana kila kona?kwamba bila mtumba utoboi
unanikumbuza kipindi tishet za Supreme zimetok ilikuwa kila kona lazima ukute kiumbe kimevaaSio sitoboi tu, nani anataka kuvaa manguo ya dukani yamefanana kila kona?
Pili Mitumba ni Affordable kwa watanganyika wengi
Watauza wapi nguo hizo? una kupoteza ajira hapo, si rahisi unavyofikiria.......Kuna kiwanda cha nguo cha mabibo kilikuwa cha serikali, soko la products za kiwanda hicho lilikuwa jeshi la marekani.China wameshatoboa kimaisha marekani anajichosha tu
Kariakoo mbona nguo zipo bei rahisi tu! Kuna mkenge nilitaka kuuva wa kuuziwa mashati bei ya kuruka, kwenda Kariakoo nikakuta hayo hayo niliyoambiwa 22k yanauzwa 12k kama ukichukua kuanzia matatu!😁😁Sio sitoboi tu, nani anataka kuvaa manguo ya dukani yamefanana kila kona?
Pili Mitumba ni Affordable kwa watanganyika wengi
Cha pale epz?..nilisikia kinauza nguo ulaya,ikiwemo jerseys kwa timu mbalimbaliWatauza wapi nguo hizo? una kupoteza ajira hapo, si rahisi unavyofikiria.......Kuna kiwanda cha nguo cha mabibo kilikuwa cha serikali, soko la products za kiwanda hicho lilikuwa jeshi la marekani.
Sikumbuki kilitokea nini, USA ikasimamisha ununusi wa nguo hizo na kiwanda kikafa mpaka leo. Nilikuwa na dada yangu tumbo moja anafanya kazi pale.....hivyo hii ni story ya kweli...alipoteza ajira na wengine wengi mpaka leo kikafa kabisa.
Haina shida US wasiponunua wapalestina, wairan, wayemen, walebanon, wapo watanunuaMarekani ilisema Alhamisi inazuia uagizaji kutoka kwa kampuni kadha za nguo za China, ikitaja wasiwasi wa China kutumia nguvu kazi ya kulazimishwa katika utengenezaji bidhaa.
Kati ya nyongeza 26 mpya kwenye orodha ya taasisi ya Sheria ya Kuzuia Kazi ya Kulazimishwa ya Uyghur, 21 zilichukuliwa kuwa chanzo na kuuza pamba kutoka mkoa wa kaskazini-magharibi wa Xinjiang wa China kwenye soko la jumla.
Wengine watano pia walipatikana kununua pamba kutoka mkoa huo.
US bars imports from 26 Chinese textile firms over forced labor.
US bars imports from 26 Chinese textile firms over forced labor
China anapambana nae kwenye vita vya Kiuchumi kumdhoofisha,Urusi anapambana nae ule upande mwingine wa🔫 basi ni vurugu za wababe wa Dunia hii.Ulishawahi kuona mtu baada ya kuchezea kichapo anakimbilia mawe au kung'ata ndipo alipofikia Marekani kwa sasa