Marekani yaridhishwa na mageuzi ya kiutendaji ya Serikali ya Rais Samia

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
MAREKANI YARIDHISHWA NA MAGEUZI YA KIUTENDAJI YA SERIKALI YA RAIS SAMIA

Yaahidi kuendelea kutoa fedha kuisaidia Tanzania kutatua vikwazo vya ukuaji uchumi.

Shirika la Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation-MCC) la Serikali ya Marekani limeeleza kuridhishwa kwake na mageuzi ya mifumo ya kiutendaji, yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita katika maeneo mbalimbali ikiwemo uimarishwaji wa demokrasia, utawala bora na haki za binadamu.

Hayo yamebainishwa wakati wa mkutano uliofanyika kati ya ujumbe wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ujumbe wa Shirika la Changamoto za Milenia uliofanyika tarehe 17 Oktoba, 2024 jijini Dodoma.

IMG-20241018-WA0206.jpg

Akizungumza kwenye mkutano huo Bw. Dan Barnes, Mkurugenzi wa Sera na Tathmini wa shirika hilo ambaye pia ameongoza ujumbe wa Marekani kwenye mkutano huo, ameeleza kuwa katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Sita, wameridhishwa na hatua mbalimbali zilizochukuliwa na Tanzania ambazo zimechangia kuongeza kasi ya maendeleo ya kiuchumi nchini.

IMG-20241018-WA0203.jpg

Pia, katika mkutano huo, Bw. Barnes alieleza kuwa kutokana na kuridhishwa na mageuzi hayo, Bunge la Marekani limeridhia Tanzania kuendelea kunufaika na ufadhili wa Shirika hilo la MCC. Maamuzi hayo yataifaya Tanzania kuendelea kupewa misaada katika shughuli za maendeleo ambazo zitasaidia kuinua uchumi wa mwananchi mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.

IMG-20241018-WA0204.jpg

Hatua hii iliyofikiwa na MCC inatokana na dhamira ya dhati ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kufanya mageuzi na maboresho katika utendaji wake. Pamoja na sera madhubuti na uongozi thabit wa Serikali, mageuzi hayo yamefikiwa kupitia falsafa ya 4Rs ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya maridhiano, ustahimilivu, mageuzi na ujenzi mpya iliyoleta mshikamano wa kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini Tanzania. Falsafa hii imesaidia kuwavutia washirika mbalimbali wa maendeleo kote duniani wakiwemo MCC kwa manufaa ya pande zote.
 
Attachments

  • IMG-20241018-WA0205.jpg
    IMG-20241018-WA0205.jpg
    121.6 KB · Views: 3
  • IMG-20241018-WA0207.jpg
    IMG-20241018-WA0207.jpg
    95.9 KB · Views: 3
  • IMG-20241018-WA0208.jpg
    IMG-20241018-WA0208.jpg
    121.4 KB · Views: 3
MAREKANI YARIDHISHWA NA MAGEUZI YA KIUTENDAJI YA SERIKALI YA RAIS SAMIA

Yaahidi kuendelea kutoa fedha kuisaidia Tanzania kutatua vikwazo vya ukuaji uchumi.

Shirika la Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation-MCC) la Serikali ya Marekani limeeleza kuridhishwa kwake na mageuzi ya mifumo ya kiutendaji, yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita katika maeneo mbalimbali ikiwemo uimarishwaji wa demokrasia, utawala bora na haki za binadamu.

Hayo yamebainishwa wakati wa mkutano uliofanyika kati ya ujumbe wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ujumbe wa Shirika la Changamoto za Milenia uliofanyika tarehe 17 Oktoba, 2024 jijini Dodoma.
View attachment 3128783
Akizungumza kwenye mkutano huo Bw. Dan Barnes, Mkurugenzi wa Sera na Tathmini wa shirika hilo ambaye pia ameongoza ujumbe wa Marekani kwenye mkutano huo, ameeleza kuwa katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Sita, wameridhishwa na hatua mbalimbali zilizochukuliwa na Tanzania ambazo zimechangia kuongeza kasi ya maendeleo ya kiuchumi nchini.
View attachment 3128780
Pia, katika mkutano huo, Bw. Barnes alieleza kuwa kutokana na kuridhishwa na mageuzi hayo, Bunge la Marekani limeridhia Tanzania kuendelea kunufaika na ufadhili wa Shirika hilo la MCC. Maamuzi hayo yataifaya Tanzania kuendelea kupewa misaada katika shughuli za maendeleo ambazo zitasaidia kuinua uchumi wa mwananchi mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.
View attachment 3128781
Hatua hii iliyofikiwa na MCC inatokana na dhamira ya dhati ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kufanya mageuzi na maboresho katika utendaji wake. Pamoja na sera madhubuti na uongozi thabit wa Serikali, mageuzi hayo yamefikiwa kupitia falsafa ya 4Rs ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya maridhiano, ustahimilivu, mageuzi na ujenzi mpya iliyoleta mshikamano wa kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini Tanzania. Falsafa hii imesaidia kuwavutia washirika mbalimbali wa maendeleo kote duniani wakiwemo MCC kwa manufaa ya pande zote.
#ssh
 
..bado tuko chini ya uangalizi.

..Kikwete / Magufuli walivyopindua matokeo ya Zanzibar fedha za mcc zilisitishwa.
 
Siku tutakapoamua kuachana na hii misaada na kuanza kujitegemea, ndio siku tutakapoanza kuona maendeleo ya kweli. Vinginevyo, ngoja tuendelee kusaidiwa huku tukisifiwa kinafiki
 
Mageuzi ya kuua akina Kibao na kuwateka akina Soka??
 
Gabriel Zakaria aliwahi kutudanganya kuwa Trump kampongeza Jiwe
 
Mbowe, Tundu Lissu, and CHADEMA in general, habari mbaya sana hizi kwao, ingekuwa ni taarifa iliyotolewa na internal institution, wangesema wamehongwa, sasa ni US representative, Mkurugenzi wa Tathmini na Sera za MCC, yaani wanahakiki je fedha za MCC zinatumika ipasavyo, na impact yake inaonekana? Jibu ni big Yes..!!!

Habari mbaya sana hizi kwa CHADEMA..!!
 
..naamini hii ni habari nzuri kwa vyama vya upinzani.

..na kama umeona Waziri anayehusika na vyama ya siasa, Mzee Lukuvi, naye yumo, maana yake kuna mambo yanayohusu DEMOKRASIA serikali / Ccm imeyakubali, ili kupata msaada toka kwa Marekani.

..habari mbaya ingekuwa kama serikali ingeamua kwenda kivyake-vyake, bila msaada toka kwa Marekani/ wafadhili, kama ilivyofanyika wakati wa Magufuli.
 
Kwa hiyo hamna tena yale matamko ya kutupiga mkwara? Au mama alimpigia simu biden na kumfunga spidi gavana balozi ?
 
..naamini hii ni habari nzuri kwa vyama vya upinzani.

..na kama umeona Waziri anayehusika na mambo ya siasa Mzee Lukuvi naye yumo, maana yake kuna mambo yanayohusu DEMOKRASIA serikali / Ccm imeyakubali ili kupata msaada toka kwa Marekani.

..habari mbaya ingekuwa kama serikali ingeamua kwenda kivyake-vyake, bila msaada toka kwa Marekani/ wafadhili, kama ilivyofanyika wakati wa Magufuli.
CCM hawana akili bila misaada ya Marekani hawana la kufanya
 
Mbowe, Tundu Lissu, and CHADEMA in general, habari mbaya sana hizi kwao, ingekuwa ni taarifa iliyotolewa na internal institution, wangesema wamehongwa, sasa ni US representative, Mkurugenzi wa Tathmini na Sera za MCC, yaani wanahakiki je fedha za MCC zinatumika ipasavyo, na impact yake inaonekana? Jibu ni big Yes..!!!

Habari mbaya sana hizi kwa CHADEMA..!!
Sina uhakika kama leo walipata usingizi.
 
Kwa hiyo hamna tena yale matamko ya kutupiga mkwara? Au mama alimpigia simu biden na kumfunga spidi gavana balozi ?

..hukuona baada ya Mama kufoka, balozi bado alidinda ktk kongamano la demokrasia, na mahojiano na Salim Kikeke?
 
Hayo yamebainishwa wakati wa mkutano uliofanyika kati ya ujumbe wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ujumbe wa Shirika la Changamoto za Milenia uliofanyika tarehe 17 Oktoba, 2024 jijini Dodoma.

Alama kwa mchanganuo :

Tanzania FY24​

Population: 65,498,000
GNI/Cap: $1,200
Category: GNI/Cap ≤ $2,145
Half Scorecard Passed
A check mark that indicates the country passed.

Control of Corruption
A check mark that indicates the country passed.

Democratic Rights
A red image that indicates the country did not pass.

Gray background image with no meaning.

Gray background image with no meaning.

Trade Policy​

34%
Score 60.6
Median 63.8

Ruling Justly​

Freedom House

Freedom of Information​

35%
Score 48.0
Median 53.7

RSF/Access Now/CLD
Gray background image with no meaning.

WHO

Education Expenditures​

55%
Score 3.26
Median 3.14

UNESCO

Natural Resource Protection​

66%
Score 46.6
Median 41.5

Yale/CIESIN

Immunization Rates​

74%
Score 87.0
Median 76.5

WHO/UNICEF

Girls' Pri Edu Completion Rate​

83%
Score 91.4
Median 66.2

UNESCO

Child Health​

39%
Score 57.6
Median 59.6

CIESIN/YCELP

For more information regarding the Millennium Challenge Account Selection Process and these indicators
 
MAREKANI YARIDHISHWA NA MAGEUZI YA KIUTENDAJI YA SERIKALI YA RAIS SAMIA

Yaahidi kuendelea kutoa fedha kuisaidia Tanzania kutatua vikwazo vya ukuaji uchumi.

Shirika la Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation-MCC) la Serikali ya Marekani limeeleza kuridhishwa kwake na mageuzi ya mifumo ya kiutendaji, yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita katika maeneo mbalimbali ikiwemo uimarishwaji wa demokrasia, utawala bora na haki za binadamu.

Hayo yamebainishwa wakati wa mkutano uliofanyika kati ya ujumbe wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ujumbe wa Shirika la Changamoto za Milenia uliofanyika tarehe 17 Oktoba, 2024 jijini Dodoma.

Akizungumza kwenye mkutano huo Bw. Dan Barnes, Mkurugenzi wa Sera na Tathmini wa shirika hilo ambaye pia ameongoza ujumbe wa Marekani kwenye mkutano huo, ameeleza kuwa katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Sita, wameridhishwa na hatua mbalimbali zilizochukuliwa na Tanzania ambazo zimechangia kuongeza kasi ya maendeleo ya kiuchumi nchini.

Pia, katika mkutano huo, Bw. Barnes alieleza kuwa kutokana na kuridhishwa na mageuzi hayo, Bunge la Marekani limeridhia Tanzania kuendelea kunufaika na ufadhili wa Shirika hilo la MCC. Maamuzi hayo yataifaya Tanzania kuendelea kupewa misaada katika shughuli za maendeleo ambazo zitasaidia kuinua uchumi wa mwananchi mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.

Hatua hii iliyofikiwa na MCC inatokana na dhamira ya dhati ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kufanya mageuzi na maboresho katika utendaji wake. Pamoja na sera madhubuti na uongozi thabit wa Serikali, mageuzi hayo yamefikiwa kupitia falsafa ya 4Rs ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya maridhiano, ustahimilivu, mageuzi na ujenzi mpya iliyoleta mshikamano wa kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini Tanzania. Falsafa hii imesaidia kuwavutia washirika mbalimbali wa maendeleo kote duniani wakiwemo MCC kwa manufaa ya pande zote.
Huu unafiki una mwisho soon.
Watanzania tumeamua kupiga kelele kivingine na matokeo yatajjri soon.

Enjoy while it lasts
 
Back
Top Bottom