Hahaha yamwkufika ee..ndiko mnapoanzia usodoma halafu hapa unajifanya msafi.We kilaza ficha 'upumbavu' wako
Kilaza ktk ubora wakoHahaha yamwkufika ee..ndiko mnapoanzia usodoma halafu hapa unajifanya msafi.
Ficha ukora wako huko
Mkiambiwa msile nguruwe wanaminyoo wana madhala kwa ubongo mnabisha ndio km hv mada inazungumzia mateka wa Ukraine kukamatwa ww unaleta mada ya arusha sijui ustadh amalawiti watoto hv tukianzisha mada hzo za kukashifiana dini utafurah? Maana huto Vatican ndio km sodoma na gomola wanavyotifuana mitalo,kila Mtu aheshimu dini ya mwenzake.Inashangaza hii habari ya ushoga inaenea sana hasa madrasa kule arusha Ostadh anajisevia watoto 22 kama wake zake.
Na jana Kinondoni Ostadh naye anakula watoto wa watu.
Mnaimba ushoga wakati humo kwenye kujifunza dini yenu mnafundisha watoto ushoga.
Ustadh acha kunajisi watoto ni dhambi ndg yanguMkiambiwa msile nguruwe wanaminyoo wana madhala kwa ubongo mnabisha ndio km hv mada inazungumzia mateka wa Ukraine kukamatwa ww unaleta mada ya arusha sijui ustadh amalawiti watoto hv tukianzisha mada hzo za kukashifiana dini utafurah? Maana huto Vatican ndio km sodoma na gomola wanavyotifuana mitalo,kila Mtu aheshimu dini ya mwenzake.
Sasa kilaza ni yupi kama sio ninyi mnao kula watoto wadogo?Kilaza ktk ubora wako
Na bado, mwaka huu utateseka sana kwa ukilaza wako...
Kwani umelazimishwa kusoma wewe mMarekani mmoja wa Nachingwea?! Watu wengine wapuuzi kweli kweli....
View attachment 2239458
Unalialia nini sasa?🙌🙌🙌🙌🙌 Siwezi kujishusha chini huko uliko. Endelea unavyotaka. Inaonekana unapata sana burudani.
Endelea kuteseka mMarekani wa Nanjilinji. Sisi tutaendelea kuwachapa mijeledi ya kwenye maikalio yenu kwa kutumia bakora zenu wenyewe...Taarifa kama hii ikitolewa na US basi siyo propaganda ,Pro putin ni vichaa.
ukifika Urusi ya kwel hauruhusiw hata kucheka huku unamwangalia Putin , ulaya ndo kwenye uhuru hadi media zipo huruNgoja tuwatwange kwanza 'nondo za kichwa' waUkraine wa 'Usoke' na waMarekani wa 'Segera' kwa kutumia source yao pendwa "U.S. News" [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Wakitoa taarifa ambazo ziko upande wa Ukraine mnaita propaganda! [emoji16]Habari ndiyo hiyo, Marekani inaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8,000 wa Ukraine wanashikiliwa na majeshi ya Russia kama wafungwa wa kivita katika jamuhuri za watu wa Luhansk na Donetsk.
Dah, yani pamoja na kupigwa tafu ya misaada ya silaha toka nchi za Marekani na shoga zake NATO/EU (sio chini ya nchi 30) lakini masikini majeshi ya Ukraine yanaendelea kupokea kichapo cha 'paka aliyeiba mboga' na wapiganaji wake 8000 wapo nyuma ya nondo kama mateka....
Shikamoo Russia!
Nakaribisha povu la 'OMO' toka kwa Pro-Ukraine + Pro-NATO
View attachment 2239244
Wako empty kichwani,Taarifa kama hii ikitolewa na US basi siyo propaganda ,Pro putin ni vichaa.
Sawa...una jingine?!ukifika Urusi ya kwel hauruhusiw hata kucheka huku unamwangalia Putin , ulaya ndo kwenye uhuru hadi media zipo huru
tetea kwa hojaWe kilaza ficha 'upumbavu' wako
Tulia dawa iingie vizuri...Wakitoa taarifa ambazo ziko upande wa Ukraine mnaita propaganda! [emoji16]
Ila hiyo mnaamini
duh so unapoteza mada?Mkiambiwa msile nguruwe wanaminyoo wana madhala kwa ubongo mnabisha ndio km hv mada inazungumzia mateka wa Ukraine kukamatwa ww unaleta mada ya arusha sijui ustadh amalawiti watoto hv tukianzisha mada hzo za kukashifiana dini utafurah? Maana huto Vatican ndio km sodoma na gomola wanavyotifuana mitalo,kila Mtu aheshimu dini ya mwenzake.
Ukiona kuna hoja hapo ujue kichwani mwako kumejaa kamasitetea kwa hoja
Achana na hawa watu mi nimeamua siwajibu kituSijui hata unafaidikaje na uongo huu? Inakupaje burudani ya moyo hali hii? Danganya wahuni wenzio huko vijiweni wasiojua Kiingereza. Ukweli ni huu kwa wasiojua Kiingereza:
Marekani hairipoti chochote kuhusu hii propaganda. Hapa ni shirika la habari la Uingereza (Reuters) likinukuu maneno ya Shirika la habari la Russia (linaitwa TASS) ambalo pia limenukuu maneno ya waasi wa Donbas wanaosapotiwa na Russia.
Moderator - Kwa nini mnaruhusu uhuni katika jukwaa hili? Inashusha heshima ya JF.
View attachment 2239292
Hujui kuwa vita huwa zinaamuliwa na mikataba pia? Huvamii tu kijinga jinga maana position yako ikionekana we ndio muanzisha vita ukisomewa shtaka una amuliwa ulipe deni la vita. Usifikirie Mrusi ni mpumbavu kiasi hicho akurupuke tu kiboya!Wanakusanya hasira tuu na sababu lukuki za kinafiki na uchonganishi Kwa washirika wake ili iwe rahisi kuingia mzigoni baba wa Dunia, ukiona hivyo ujue siku zinahesabika na ukingoni paleeee...!!
Mrusi hatoboi ng'o
Mpaka sasa atakuwa kaathirika vibaya na kachoka mno!
Angelikuwa na nguvu, tayari angelikuwa keshawachapa wote aliokuwa akidai wakiingilia tu vita atawafurusha!!