Marekani yaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8000 wa Ukraine wamekamatwa mateka na kushikiliwa na majeshi ya Urusi

Marekani yaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8000 wa Ukraine wamekamatwa mateka na kushikiliwa na majeshi ya Urusi

Inashangaza hii habari ya ushoga inaenea sana hasa madrasa kule arusha Ostadh anajisevia watoto 22 kama wake zake.
Na jana Kinondoni Ostadh naye anakula watoto wa watu.
Mnaimba ushoga wakati humo kwenye kujifunza dini yenu mnafundisha watoto ushoga.
Mkiambiwa msile nguruwe wanaminyoo wana madhala kwa ubongo mnabisha ndio km hv mada inazungumzia mateka wa Ukraine kukamatwa ww unaleta mada ya arusha sijui ustadh amalawiti watoto hv tukianzisha mada hzo za kukashifiana dini utafurah? Maana huto Vatican ndio km sodoma na gomola wanavyotifuana mitalo,kila Mtu aheshimu dini ya mwenzake.
 
[emoji845] [emoji635] Politico has published a list of European companies that pay Russia for gas through Gazprombank[emoji845]

These are companies from Germany, France, Italy, Hungary, the Czech Republic, Slovakia and Slovenia, one Italian has an account in both euros and rubles[emoji383]
 
Mkiambiwa msile nguruwe wanaminyoo wana madhala kwa ubongo mnabisha ndio km hv mada inazungumzia mateka wa Ukraine kukamatwa ww unaleta mada ya arusha sijui ustadh amalawiti watoto hv tukianzisha mada hzo za kukashifiana dini utafurah? Maana huto Vatican ndio km sodoma na gomola wanavyotifuana mitalo,kila Mtu aheshimu dini ya mwenzake.
Ustadh acha kunajisi watoto ni dhambi ndg yangu
 
🙌🙌🙌🙌🙌 Siwezi kujishusha chini huko uliko. Endelea unavyotaka. Inaonekana unapata sana burudani.
Unalialia nini sasa?

Nilikulazimisha kusoma?

We endelea kuteseka na nyuzi zangu...baada ya kulialia kwa moderator na kupuuzwa sasa ndio unatafuta namna ya 'nitoke vipi'🤣😂🤣😂😁😁
 
Taarifa kama hii ikitolewa na US basi siyo propaganda ,Pro putin ni vichaa.
 
Ngoja tuwatwange kwanza 'nondo za kichwa' waUkraine wa 'Usoke' na waMarekani wa 'Segera' kwa kutumia source yao pendwa "U.S. News" [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
ukifika Urusi ya kwel hauruhusiw hata kucheka huku unamwangalia Putin , ulaya ndo kwenye uhuru hadi media zipo huru
 
Habari ndiyo hiyo, Marekani inaripoti kuwa jumla ya wanajeshi/wapiganaji 8,000 wa Ukraine wanashikiliwa na majeshi ya Russia kama wafungwa wa kivita katika jamuhuri za watu wa Luhansk na Donetsk.

Dah, yani pamoja na kupigwa tafu ya misaada ya silaha toka nchi za Marekani na shoga zake NATO/EU (sio chini ya nchi 30) lakini masikini majeshi ya Ukraine yanaendelea kupokea kichapo cha 'paka aliyeiba mboga' na wapiganaji wake 8000 wapo nyuma ya nondo kama mateka....

Shikamoo Russia!

Nakaribisha povu la 'OMO' toka kwa Pro-Ukraine + Pro-NATO

View attachment 2239244
Wakitoa taarifa ambazo ziko upande wa Ukraine mnaita propaganda! [emoji16]

Ila hiyo mnaamini
 
Mkiambiwa msile nguruwe wanaminyoo wana madhala kwa ubongo mnabisha ndio km hv mada inazungumzia mateka wa Ukraine kukamatwa ww unaleta mada ya arusha sijui ustadh amalawiti watoto hv tukianzisha mada hzo za kukashifiana dini utafurah? Maana huto Vatican ndio km sodoma na gomola wanavyotifuana mitalo,kila Mtu aheshimu dini ya mwenzake.
duh so unapoteza mada?
 
Sijui hata unafaidikaje na uongo huu? Inakupaje burudani ya moyo hali hii? Danganya wahuni wenzio huko vijiweni wasiojua Kiingereza. Ukweli ni huu kwa wasiojua Kiingereza:

Marekani hairipoti chochote kuhusu hii propaganda. Hapa ni shirika la habari la Uingereza (Reuters) likinukuu maneno ya Shirika la habari la Russia (linaitwa TASS) ambalo pia limenukuu maneno ya waasi wa Donbas wanaosapotiwa na Russia.

Moderator - Kwa nini mnaruhusu uhuni katika jukwaa hili? Inashusha heshima ya JF.

View attachment 2239292
Achana na hawa watu mi nimeamua siwajibu kitu
 
Wanakusanya hasira tuu na sababu lukuki za kinafiki na uchonganishi Kwa washirika wake ili iwe rahisi kuingia mzigoni baba wa Dunia, ukiona hivyo ujue siku zinahesabika na ukingoni paleeee...!!

Mrusi hatoboi ng'o

Mpaka sasa atakuwa kaathirika vibaya na kachoka mno!

Angelikuwa na nguvu, tayari angelikuwa keshawachapa wote aliokuwa akidai wakiingilia tu vita atawafurusha!!
Hujui kuwa vita huwa zinaamuliwa na mikataba pia? Huvamii tu kijinga jinga maana position yako ikionekana we ndio muanzisha vita ukisomewa shtaka una amuliwa ulipe deni la vita. Usifikirie Mrusi ni mpumbavu kiasi hicho akurupuke tu kiboya!
 
Back
Top Bottom