Marekani yasema haijahusika na Saudia yalaani mashambulizi dhidi ya Iran.Wote ni waongo na wanafiki

Marekani yasema haijahusika na Saudia yalaani mashambulizi dhidi ya Iran.Wote ni waongo na wanafiki

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Utawala mpya wa Marekani umeshtuka kwamba hawawezi tena vita vya ana kwa ana na mataifa mengine ndio maana kwa sasa imeamua kupigana nyuma ya mataifa madogo kama Ukraine na Israel

Kwa upande wa Saudia ndio kabisa amekuwa kibaraka ovyo ma mataifa ya kibeberru kwa kuchukua majukumu ya kikuwadi dhidi ya Iran.Baada ya mashambulio ya leo Saudia imejidai kulaani kinafiki.
 
Mbona unaandika huku unalia😁😁

Haya tufanye Usa kahusika basi urusi amsaidie iran kupambana na icho kimeo km rahisi😀
 
Hawajui IRAN inaenda kujibuje mashambulizi ya Israel.
 
Back
Top Bottom