Marekani yasema 'Uragan' ya Urusi yasababisha maafa mabaya mnoo huko Ukraine

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Marekani inalalamika kuwa 'Uragan', aina maalumu ya Multiple launch rocket system (MLRS) ya Urusi, yaasababisha maafa mabaya mno kwa Ukraine.

Mie siielewi sana hii silaha iitwayo 'Uragan', nakuomba Mkuu T14 Armata udadavuke udadavuzi uliotukuka ili wanaJF waelewe kiundani zaidi kuhusu hili dubwana liitwalo 'Uragan'

Naambatanisha Video hapo chini ikionesha Uragan ikifanya mambo yake huko Ukraine!
======

SmartSelect_20220714-135813_Chrome.jpg

Hii jana aisee Russia mpaka mwezi uishe atakuwa amekimbia Ukraine

Marekani inalalamika kuwa 'Uragan', aina maalumu ya Multiple rocket launcher system (MRLS) ya Urusi, yaasababisha maafa mabaya mno kwa Ukraine.

Mie siielewi sana hii silaha iitwayo 'Uragan', nakuomba Mkuu T14 Armata udadavuke udadavuzi uliotukuka ili wanaJF waelewe kiundani zaidi kuhusu hili dubwana liitwalo 'Uragan'

Naambatanisha Video hapo chini ikionesha Uragan ikifanya mambo yake huko Ukraine!
======

View attachment 2290473

Video uliyoweka ni ya siku 13 zimepita na hakuna mahali US amelalamika lete ushahidi hapa.Himars zinawachanganya sana
 
Hatari Sana! Si walisema hana siraha? Zimetoka wapi?
 
Video uliyoweka ni ya siku 13 zimepita na hakuna mahali US amelalamika lete ushahidi hapa.Himars zinawachanganya sana
We unakaribia kuvua nguo, sio kwa kuchanganyikiwa huko aisee!

Unajua 19 Forty Five ni newspaper ya wapi? Huoni taarifa hiyo imetolewa masaa machache yaliyopita leo?

Hiyo video ni shambulio lililofanyika siku kadhaa zilizopita ambapo wajeda wa Ukraine walionusurika kifo iliwalazimu wakimbie mapigano na kuwakabidhi miji warusi huko Lysychansk.

Uragan yaendelea tumika hadi sasa na sasa Marekani yalalamika kuwa Uragan yasababisha maafa makubwa
 
Marekani inalalamika kuwa 'Uragan', aina maalumu ya Multiple rocket launcher system (MRLS) ya Urusi, yaasababisha maafa mabaya mno kwa Ukraine.

Mie siielewi sana hii silaha iitwayo 'Uragan', nakuomba Mkuu T14 Armata udadavuke udadavuzi uliotukuka ili wanaJF waelewe kiundani zaidi kuhusu hili dubwana liitwalo 'Uragan'

Naambatanisha Video hapo chini ikionesha Uragan ikifanya mambo yake huko Ukraine!
======

View attachment 2290473

1.Tageti 70 km ,mbona hiyo Cha mtoto Kuna pacha wake Tornado kadri mtoto anavyokaidi adhabu inakuwa kubwa zaidi 😫
 
Marekani inalalamika kuwa 'Uragan', aina maalumu ya Multiple launch rocket system (MLRS) ya Urusi, yaasababisha maafa mabaya mno kwa Ukraine.

Mie siielewi sana hii silaha iitwayo 'Uragan', nakuomba Mkuu T14 Armata udadavuke udadavuzi uliotukuka ili wanaJF waelewe kiundani zaidi kuhusu hili dubwana liitwalo 'Uragan'

Naambatanisha Video hapo chini ikionesha Uragan ikifanya mambo yake huko Ukraine!
======

View attachment 2290473

Uragan ni MLRS ya zamani kidogo miaka ya Cold war kwa sasa sio tishio kama modern MRLS. Turkey akileta TRG-300 Kaplan, South Korea akaleta Chunmoo, na Mchina akaleta PHL-03 zote hizo zinaizidi Uragan firing range, zina circular error probable (CEP) ndogo zaidi na zina guidance nzuri. Mrusi akileta Smerch ndio inakuwa hatari kuliko Uragan, akileta Tornado ndio modern zaidi na iko level ya hizo nilizotaja ila sijajua kwanini Tornado hatujaziona naamini development ilishamalizika ila hawakufanya mass production.

MRLS zote huwa zinasumbua hakuna njia mbadala ya kuzizuia kirahisi. Na kuna silaha nyingine pia husumbua ndio maana nchi XXX ina approach moja tu inayoitanguliza popote, Air Superiority. Ukishamiliki anga la adui ukaharibu air defence zake, airbases, ndege, runways na SAM sites unakuwa na uhakika at any moment kuwa hewani na muda wote unafanya surveillance. Hii inasaidia kuondoa silaha yoyote ambayo haipigiki kirahisi kwa silaha za ardhini. Na pia inaondoa kujiamini kwa adui, muda wote anaamini akipeleka kitu mbele kitapigwa from air.

Russia ana approach ya kuamini artillery hapo ground na kumiliki air defence systems za uhakika kulinda anga in compensation na kuwa na ndege chache na nyingi ya hizo kuwa na uwezo usio mkubwa sana. Russia ana 4+ na 4.5 Generation aircrafts chache, hana operational stealth aircraft. Ilitarajiwa Russia aoneshe uwezo mkubwa sana kwenye artillery na MRLS maana ndio anajitanabaisha. Hata howitzer yake mpya, Koalitsiya yenye range kubwa kama max. 70km bado sijaiona vitani. Ingekuwepo ikapewa guided shells za kutosha ingesumbua mno. Maybe haijakamilika kuwa accepted na Russian army
 
MRLS zote huwa zinasumbua hakuna njia mbadala ya kuzizuia kirahisi. Na kuna silaha nyingine pia husumbua ndio maana nchi XXX ina approach moja tu inayoitanguliza popote, Air Superiority. Ukishamiliki anga la adui ukaharibu air defence zake, airbases, ndege, runways na SAM sites unakuwa na uhakika at any moment kuwa hewani na muda wote unafanya surveillance. Hii inasaidia kuondoa silaha yoyote ambayo haipigiki kirahisi kwa silaha za ardhini. Na pia inaondoa kujiamini kwa adui, muda wote anaamini akipeleka kitu mbele kitapigwa from air.
Jamaa yangu nimependa hapo kwenye nchi XXX🤣🤣😆😆
 
Marekani anaziogopa maana hazina shabaha na mrusi kaamua kuzitumia makusud anaharibu majengo na muiundombinu ya adui na kuua watu wasiyo na hatia,mrussi anayo tornado ambayo ni ya kisasa ila jamaa anaanza na mavitu Yale ya zaman sijui kwa nini Russia hawatak kupigana kisasa zaid ,wanapigana kiloko sana ,utadhan hawana advanced weapon
 
Tornado zimeanza kuzalishwa si miaka mingi nyuma, hazipo za kutosha kwenye inventory ila wangeleta hata 15 frontline zingetosha. Mbona Italy ina batteries zenye HIMARS 18 tu. Ila hata Marekani ikienda kupigana na vitoto vidogo huwa haiendi na silaha kali sana. Ukraine sio level ya Russia kabisa kabisa, ni kama Uingereza ilivyopigana na Argentina mwaka 1974 kwenye Falklands war.

Tatizo la kutumia silaha zisizo na shabaha kali ni kupoteza muda vitani na kusababisha uharibifu usiotakiwa. Na pia kuongeza mzigo wa logistics ambayo Russia haiko vizuri sana. Badala ubebe truck moja yenye guided shells inabidi ubebe trucks 9 za dumb shells. Nilisoma somewhere, kwa makadirio ya wastani, huwa inahitajika shells 9 za zamani ambapo ungehitaji shell moja iliyo guided. Ila kwa gharama sasa ndio changamoto
 
Marekani anaziogopa maana hazina shabaha na mrusi kaamua kuzitumia makusud anaharibu majengo na muiundombinu ya adui na kuua watu wasiyo na hatia,mrussi anayo tornado ambayo ni ya kisasa ila jamaa anaanza na mavitu Yale ya zaman sijui kwa nini Russia hawatak kupigana kisasa zaid ,wanapigana kiloko sana ,utadhan hawana advanced weapon
Advanced weapon ukianza nazo zikadunda si watakufumua mpaka chumbani kwako kabisa. Hizo advanced unatumia mwishoni kummaliza adui akiwa advanced zake kashazimaliza ndio unatoa zako 😂😂😂 kipindi hiki ni cha kurefusha vita tu.
 
Break News 2 Russian submarines zimekwenda masaa mawili yaliyopita cheki ushahidi hapo chini

Marekani inalalamika kuwa 'Uragan', aina maalumu ya Multiple launch rocket system (MLRS) ya Urusi, yaasababisha maafa mabaya mno kwa Ukraine.

Mie siielewi sana hii silaha iitwayo 'Uragan', nakuomba Mkuu T14 Armata udadavuke udadavuzi uliotukuka ili wanaJF waelewe kiundani zaidi kuhusu hili dubwana liitwalo 'Uragan'

Naambatanisha Video hapo chini ikionesha Uragan ikifanya mambo yake huko Ukraine!
======

View attachment 2290473

*****,dah
 
Back
Top Bottom