Marekani yasema 'Uragan' ya Urusi yasababisha maafa mabaya mnoo huko Ukraine

Marekani yasema 'Uragan' ya Urusi yasababisha maafa mabaya mnoo huko Ukraine

Hapa ndio utaona utofauti Ukraine inapiga Military bases wakati Russia anapiga makazi na kuuwa watoto

 
Black sea moto unawaka huko Pro Russia mkuje kwenye uzi wenu mkane tena

 
Tazama mrusi anapelekewa moto majini na ardhini hakuna kupumua

 
Mavideo ya kutafuta subscribe hayo watu Wana edi
Anahangaika nayo balaa, wakati watu wanateka miji yeye anahangaika ya kutengenezwa basi atafute ya mji kurudishwa maana wanajeshi kufa na vifaa kuharibiwa ni kawaida vitani Cha msingi baada ya Vita ulifanikiwa nini?
 
Back
Top Bottom