Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Amefanywaje?Cheki hii lisaa limoja lililopita Russia ameqashiwa moto
Tazama video boss uone moto anaopelekewa mvamiziAmefanywaje?
Video uliyoweka ni ya siku 13 zimepita na hakuna mahali US amelalamika lete ushahidi hapa.Himars zinawachanganya sanaMarekani inalalamika kuwa 'Uragan', aina maalumu ya Multiple rocket launcher system (MRLS) ya Urusi, yaasababisha maafa mabaya mno kwa Ukraine.
Mie siielewi sana hii silaha iitwayo 'Uragan', nakuomba Mkuu T14 Armata udadavuke udadavuzi uliotukuka ili wanaJF waelewe kiundani zaidi kuhusu hili dubwana liitwalo 'Uragan'
Naambatanisha Video hapo chini ikionesha Uragan ikifanya mambo yake huko Ukraine!
======
View attachment 2290473
Hatari Sana! Si walisema hana siraha? Zimetoka wapi?Marekani inalalamika kuwa 'Uragan', aina maalumu ya Multiple rocket launcher system (MRLS) ya Urusi, yaasababisha maafa mabaya mno kwa Ukraine.
Mie siielewi sana hii silaha iitwayo 'Uragan', nakuomba Mkuu T14 Armata udadavuke udadavuzi uliotukuka ili wanaJF waelewe kiundani zaidi kuhusu hili dubwana liitwalo 'Uragan'
Naambatanisha Video hapo chini ikionesha Uragan ikifanya mambo yake huko Ukraine!
======
View attachment 2290473
We unakaribia kuvua nguo, sio kwa kuchanganyikiwa huko aisee!Video uliyoweka ni ya siku 13 zimepita na hakuna mahali US amelalamika lete ushahidi hapa.Himars zinawachanganya sana
MhTazama video boss uone moto anaopelekewa mvamizi
1.Tageti 70 km ,mbona hiyo Cha mtoto Kuna pacha wake Tornado kadri mtoto anavyokaidi adhabu inakuwa kubwa zaidi π«Marekani inalalamika kuwa 'Uragan', aina maalumu ya Multiple rocket launcher system (MRLS) ya Urusi, yaasababisha maafa mabaya mno kwa Ukraine.
Mie siielewi sana hii silaha iitwayo 'Uragan', nakuomba Mkuu T14 Armata udadavuke udadavuzi uliotukuka ili wanaJF waelewe kiundani zaidi kuhusu hili dubwana liitwalo 'Uragan'
Naambatanisha Video hapo chini ikionesha Uragan ikifanya mambo yake huko Ukraine!
======
View attachment 2290473
Uragan ni MLRS ya zamani kidogo miaka ya Cold war kwa sasa sio tishio kama modern MRLS. Turkey akileta TRG-300 Kaplan, South Korea akaleta Chunmoo, na Mchina akaleta PHL-03 zote hizo zinaizidi Uragan firing range, zina circular error probable (CEP) ndogo zaidi na zina guidance nzuri. Mrusi akileta Smerch ndio inakuwa hatari kuliko Uragan, akileta Tornado ndio modern zaidi na iko level ya hizo nilizotaja ila sijajua kwanini Tornado hatujaziona naamini development ilishamalizika ila hawakufanya mass production.Marekani inalalamika kuwa 'Uragan', aina maalumu ya Multiple launch rocket system (MLRS) ya Urusi, yaasababisha maafa mabaya mno kwa Ukraine.
Mie siielewi sana hii silaha iitwayo 'Uragan', nakuomba Mkuu T14 Armata udadavuke udadavuzi uliotukuka ili wanaJF waelewe kiundani zaidi kuhusu hili dubwana liitwalo 'Uragan'
Naambatanisha Video hapo chini ikionesha Uragan ikifanya mambo yake huko Ukraine!
======
View attachment 2290473
Jamaa yangu nimependa hapo kwenye nchi XXXπ€£π€£ππMRLS zote huwa zinasumbua hakuna njia mbadala ya kuzizuia kirahisi. Na kuna silaha nyingine pia husumbua ndio maana nchi XXX ina approach moja tu inayoitanguliza popote, Air Superiority. Ukishamiliki anga la adui ukaharibu air defence zake, airbases, ndege, runways na SAM sites unakuwa na uhakika at any moment kuwa hewani na muda wote unafanya surveillance. Hii inasaidia kuondoa silaha yoyote ambayo haipigiki kirahisi kwa silaha za ardhini. Na pia inaondoa kujiamini kwa adui, muda wote anaamini akipeleka kitu mbele kitapigwa from air.
Wangenishutumu kwa kutaja nchi kwamba mbona naisifia tu mapungufu yake sitaji. Dawa yao nishaijua naruka jina lakeJamaa yangu nimependa hapo kwenye nchi XXXπ€£π€£ππ
Tornado zimeanza kuzalishwa si miaka mingi nyuma, hazipo za kutosha kwenye inventory ila wangeleta hata 15 frontline zingetosha. Mbona Italy ina batteries zenye HIMARS 18 tu. Ila hata Marekani ikienda kupigana na vitoto vidogo huwa haiendi na silaha kali sana. Ukraine sio level ya Russia kabisa kabisa, ni kama Uingereza ilivyopigana na Argentina mwaka 1974 kwenye Falklands war.Marekani anaziogopa maana hazina shabaha na mrusi kaamua kuzitumia makusud anaharibu majengo na muiundombinu ya adui na kuua watu wasiyo na hatia,mrussi anayo tornado ambayo ni ya kisasa ila jamaa anaanza na mavitu Yale ya zaman sijui kwa nini Russia hawatak kupigana kisasa zaid ,wanapigana kiloko sana ,utadhan hawana advanced weapon
Advanced weapon ukianza nazo zikadunda si watakufumua mpaka chumbani kwako kabisa. Hizo advanced unatumia mwishoni kummaliza adui akiwa advanced zake kashazimaliza ndio unatoa zako πππ kipindi hiki ni cha kurefusha vita tu.Marekani anaziogopa maana hazina shabaha na mrusi kaamua kuzitumia makusud anaharibu majengo na muiundombinu ya adui na kuua watu wasiyo na hatia,mrussi anayo tornado ambayo ni ya kisasa ila jamaa anaanza na mavitu Yale ya zaman sijui kwa nini Russia hawatak kupigana kisasa zaid ,wanapigana kiloko sana ,utadhan hawana advanced weapon
Pro NATO alimaniisha USA hizo xxx sio porn clip [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa yangu nimependa hapo kwenye nchi XXX[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38]
Yup nilimpata, alidumisha mila yake ya kuitaja US pale tunapomuuliza maoni yake juu ya silaha fulani ya Urusi.Pro NATO alimaniisha USA hizo xxx sio porn clip [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*****,dahMarekani inalalamika kuwa 'Uragan', aina maalumu ya Multiple launch rocket system (MLRS) ya Urusi, yaasababisha maafa mabaya mno kwa Ukraine.