Wanataka walikamate wajue lilikuwa linakusanya nini kumbuka lilikuwa eneo lenye nuclear weapons and facility so debris zinaweza kuleta shida ,wale wanaakili sio nyie wazee wa PaparaLini US wametuma makombora kutungua hilo puto? Unastahili kutunukiwa PhD ya uongo.
Debris ni Chaka la kuponea..hakuna kitu kama hichoWanataka walikamate wajue lilikuwa linakusanya nini kumbuka lilikuwa eneo lenye nuclear weapons and facility so debris zinaweza kuleta shida ,wale wanaakili sio nyie wazee wa Papara
USSR
Video haisemi kuwa US wamejaribu kutungua hizo balloons.N
Nimeweka video mkuu
angalia vizuriVideo haisemi kuwa US wamejaribu kutungua hizo balloons.
Hayo makombora mazito yametumwa lini? Mbona sisi wengine hatujasikia kwenye vyombo vya habari?Licha ya kutuma makombora mazito kutungua balloon hizo jitihada zinaonekana kubonga mwamba.
Nimeona lina Solar - so linaweza kuwa na satelite link au 4/5G network with roaming facilities na pia likawa linatuma data back to China in realtime! Ukilitunguwa linajiharibu lenyewe na upati data za maana! Jamaa sio wajinga kuangukiwa na jumba bovuWanataka walikamate wajue lilikuwa linakusanya nini kumbuka lilikuwa eneo lenye nuclear weapons and facility so debris zinaweza kuleta shida ,wale wanaakili sio nyie wazee wa Papara
USSR
Wakwea madafu bana eti solar,wacheni ujuaji wa kishamba apaNimeona lina Solar - so linaweza kuwa na satelite link au 4/5G network with roaming facilities na pia likawa linatuma data back to China in realtime! Ukilitunguwa linajiharibu lenyewe na upati data za maana! Jamaa sio wajinga kuangukiwa na jumba bovu
angalia vizuri
Tandika saa hizi liko MbagalaBongo limepita?
ulicho post ni sihasa(uwongo)US downs Chinese balloon, drawing a threat from China
China insisted the flyover was an accident involving a civilian aircraft and threatened repercussions. President Joe Biden issued the order but had wanted the balloon downed even earlier, on Wednesda...www.yahoo.com
Habari za sasa hivi.
Unataka watangazie ulimwengu they failure?Hayo makombora mazito yametumwa lini? Mbona sisi wengine hatujasikia kwenye vyombo vya habari?