Too shallow minded , poor and fackin Creature Baba bora angejichukulia Sheria mkononi kuliko kukuzaa .soma upate maharifa na sio kuropoka tuu kama umevaa dera la kuazima. Dunia sasa ina a lot of Technologies na isitoshe ujui elimu yangu na nnajua nini na nnauwezo gani katika Tansinia ya ICT ! Sio wote tunashinda kwenye vijiwe vya kahawaWakwea madafu bana eti solar,wacheni ujuaji wa kishamba apa
Wewe umejuaje kama huo ni uongo? Kipimo kipi umetumia? Umemwelewa vizuri mtoa taarifa wa hio video? Anatumia lugha ya kutokuwa na uhakika wa kile kinachodhaniwa kimetokea.ulicho post ni sihasa(uwongo)
kwenye video ndicho kinachojiri, maana kapost mwananchi na flashes za missile zinaonekana
BBC, CNN hawawezi kuonyesha weekeness ya Marekani..habari zipo no tangu Jana ngoja inavinjari..hiyo Itakuwa ni payback kwa Pelosi aliyejifanya kuingia china bila ruksaHayo makombora mazito yametumwa lini? Mbona sisi wengine hatujasikia kwenye vyombo vya habari?
izo flashes za nini ? fireworks za Mwaka Mpya siyouhakika wa kile kinachodhaniwa kimetokea.
JF ina wateja wengi sana wa Mirembe! Ila basi tu- msamehe bureWewe umejuaje kama huo ni uongo? Kipimo kipi umetumia? Umemwelewa vizuri mtoa taarifa wa hio video? Anatumia lugha ya kutokuwa na uhakika wa kile kinachodhaniwa kimetokea.
... week; Marekani ya Kisemvule. Pumbavu! Nachojua China wameomba msamaha tena kwa machozi.Marekani wameonyesha week
Ongea lugha aliyoongea bibi yako!Unataka watangazie ulimwengu they failure?
Mkuu Hilo balloon ni humiliation kwa USA, eanaogopa tu kukiriHii issue nilitegemea kuiona JF. Mwanzoni nilikuwa siielewi nikajipa muda kuijua na ni kubwa tofauti na nilivyotarajia.
Kwanza Marekani haina active anti aircraft missile systems, huwa inaamini hakuna mtu anaweza fanikiwa kuleta ndege kwenye anga lake. Ila ina layel of ballistic missiles defence system na hizi mifumo miwili ni tofauti kabisa.
Hilo balloon liko kama 60,000ft juu na zile panels zina ukubwa wa mabasi matatu kwa makadirio wanayosema. Kwa kuwa wameshaona halina hatari yoyote kwa raia basi hawana haja kushusha mavyuma makubwa kuhatarisha usalama wakati yalivyo juu hayaleti hatari yoyote. Bado wakitaka kulishusha ni ngumu kwa kuwa F-22 pekee ndio fighter yenye uwezo wa manouvre altitude hiyo na upande ule wa Montana hakukuwa na base yenye F-22. Bado shida nyingine ni kwamba hilo ni balloon lenye vyuma chini na air to air missile zinaweza penya kwenye puto zisiwe activated. Ukitumia cannon inabidi uwe na manouvre nzuri kulenga shabaha ila bado shells hazitagonga kitu kizito kulipuka na zitadondokea makazi ya watu. So mara zote US huwa inaziacha balloons zikiwa urefu mkubwa.
Limeonekana kabla halijaingia anga la Marekani ila Pentagon inavyosemekana ilihitaji kujaribu kunasa mawasiliano linayofanya ipate mwanga kidogo kuhusu China inavyowasiliana na satellites zake.
Na nchi zote hizi zina satellites ambazo hupita anga za adui na kuchunguza kwahiyo hakuna maajabu kwa balloon sanasana linaweza nasa mawasiliano kwa ukaribu zaidi na accuracy kubwa ndio maana security measures zimechukuliwa.
Jambo la msingi linaloiumiza kichwa Marekani ni namna gani ya kulishusha bila kuliharibu ili walisome.
Tatizo sio kulisambaratisha; bali kulishusha bila kuliharibu yaani lishuke zima zima na uzima wake kama lilivyo! Marekani wako na akili nyingi sana.Hii issue nilitegemea kuiona JF. Mwanzoni nilikuwa siielewi nikajipa muda kuijua na ni kubwa tofauti na nilivyotarajia.
Kwanza Marekani haina active anti aircraft missile systems, huwa inaamini hakuna mtu anaweza fanikiwa kuleta ndege kwenye anga lake. Ila ina layel of ballistic missiles defence system na hizi mifumo miwili ni tofauti kabisa.
Hilo balloon liko kama 60,000ft juu na zile panels zina ukubwa wa mabasi matatu kwa makadirio wanayosema. Kwa kuwa wameshaona halina hatari yoyote kwa raia basi hawana haja kushusha mavyuma makubwa kuhatarisha usalama wakati yalivyo juu hayaleti hatari yoyote. Bado wakitaka kulishusha ni ngumu kwa kuwa F-22 pekee ndio fighter yenye uwezo wa manouvre altitude hiyo na upande ule wa Montana hakukuwa na base yenye F-22. Bado shida nyingine ni kwamba hilo ni balloon lenye vyuma chini na air to air missile zinaweza penya kwenye puto zisiwe activated. Ukitumia cannon inabidi uwe na manouvre nzuri kulenga shabaha ila bado shells hazitagonga kitu kizito kulipuka na zitadondokea makazi ya watu. So mara zote US huwa inaziacha balloons zikiwa urefu mkubwa.
Limeonekana kabla halijaingia anga la Marekani ila Pentagon inavyosemekana ilihitaji kujaribu kunasa mawasiliano linayofanya ipate mwanga kidogo kuhusu China inavyowasiliana na satellites zake.
Na nchi zote hizi zina satellites ambazo hupita anga za adui na kuchunguza kwahiyo hakuna maajabu kwa balloon sanasana linaweza nasa mawasiliano kwa ukaribu zaidi na accuracy kubwa ndio maana security measures zimechukuliwa.
Jambo la msingi linaloiumiza kichwa Marekani ni namna gani ya kulishusha bila kuliharibu ili walisome.
Soma aya yangu ya mwishoTatizo sio kulisambaratisha; bali kulishusha bila kuliharibu yaani lishuke zima zima na uzima wake kama lilivyo! Marekani wako na akili nyingi sana.
Nimekusoma vizuri sana!Soma aya yangu ya mwisho
USA wanachanganyikiwa zaidi kwa kuwa awajui ni namna gani Mchina analicontrol hili baloon- na ukubwa wa hizo pannel za Solar maanake ni kuwa ballon lina tumia umeme mwingi -Ambao unaweza kuwa unatumika na data capturing transmitter pamoja na Comand Unit- So ballon linaweza rudi back to China bila tatizo😁Soma aya yangu ya mwisho
Mkuu bila shaka Marekani wanaonekana "Week" (unavyoandika) ila si "weak" maana katika jambo hili mzee Biden anatumia akili.Licha ya kujinadi kwamba Marekani ndiyo nchi inayoongoza kwa silaha za kila namba, Marekani wameonyesha week was Yao dhidi ya balloon la wachina ambalo linaendelea kuvinjari na kukatiza maeneo mbalimbali yakuwemo maeneo nyeti kama kambi za jeshi. Licha ya kutuma makombora mazito kutungua balloon hizo jitihada zinaonekana kubonga mwamba.
Balloon Hilo linasemekama kutembea umbali wa futi 120,000 kutoka usawa wa bahari.
View attachment 2506365
View attachment 2506381
Shabiki maandazi utawawezaN
Nimeweka video mkuu
Tandika saa hizi liko Mbagala