Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MAREKANI - Marekani imemfungulia mashtaka mdukuzi wa Korea Kaskazini, Rim Jong Hyok kufuatia mashambulizi ya mtandaoni ambayo yalisaidia kuiba siri za kijeshi na nyuklia ikisema zawadi ya dola milioni 10 (TZS bilioni 27) itatolewa kwa atakayetoa.
FBI imetangaza dau la bilioni 27 za Kitanzania kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kumpata Rim Jong Hyok. Rim Jong Hyok anatuhumiwa kwa kosa la kushiriki katika udukuzi wa kompyuta na kupanga kufanya udukuzi wa kompyuta chini ya udhibiti wa serikali ya kigeni, akilenga miundombinu muhimu ya Marekani kinyume na sheria za Marekani. Taarifa hii ilitolewa tarehe 26 Julai, 2024 na HabariLeo.
Ubalozi wa North korea Marekani😁😁Kwanini wasitoe tarifa kwenye ubalozi wa North Korea Marekani, au wasifanye kazi na usalama wa North Korea kumpata kama nchi nyingine zilizo staarabika zinavyofanya
Ujeuri na ukiburi wa serikali ya Marekani unachekesha, Computer Fraud and Abuse act ina apply kwa raia wa Marekani, huwezi kum charge raia wa kigeni na kutaka kumfunga kwenye mahakama zako
Majeuri hawa, wanaweza kamata raia wa nchi nyingine ambaye hajawahi kufika Marekani maisha yake yote na kumsomea mashtaka ya kukiuka katiaba yao
Kakombeleza hela mitandaoni kwa kudukua taarifa za wateja wa bank ili apate access ya account zao, kaiba taarifa za wagonjwa mahospitalini.MAREKANI - Marekani imemfungulia mashtaka mdukuzi wa Korea Kaskazini, Rim Jong Hyok kufuatia mashambulizi ya mtandaoni ambayo yalisaidia kuiba siri za kijeshi na nyuklia ikisema zawadi ya dola milioni 10 (TZS bilioni 27) itatolewa kwa atakayetoa taarifa.
Huna akiri unadhani hiyo taarifa ndio imepewa jf itangaxe kwamba medium ziingine hazijaguswa. Balozi husika tayari imetoa taarifa hiyo. Ila medium ziinatumika kutangaza hiyo gift maana huyo amewekwa kwenye 25 people most wanted.Kwanini wasitoe tarifa kwenye ubalozi wa North Korea Marekani, au wasifanye kazi na usalama wa North Korea kumpata kama nchi nyingine zilizo staarabika zinavyofanya
Ujeuri na ukiburi wa serikali ya Marekani unachekesha, Computer Fraud and Abuse act ina apply kwa raia wa Marekani, huwezi kum charge raia wa kigeni na kutaka kumfunga kwenye mahakama zako
Majeuri hawa, wanaweza kamata raia wa nchi nyingine ambaye hajawahi kufika Marekani maisha yake yote na kumsomea mashtaka ya kukiuka katiaba yao
dah, yaani north korea wapo vizuri namna hiyo?MAREKANI - Marekani imemfungulia mashtaka mdukuzi wa Korea Kaskazini, Rim Jong Hyok kufuatia mashambulizi ya mtandaoni ambayo yalisaidia kuiba siri za kijeshi na nyuklia ikisema zawadi ya dola milioni 10 (TZS bilioni 27) itatolewa kwa atakayetoa taarifa.
Watume kwanza advansiVijana wasio na kazi.. kazi hiyo imewafikia mlangoni sasa
Huo mpunga mrefu sana lazima ungeniuza leo ningekuwa Guantabamo bayMleta mada umenistua sana uliposema mdukuzi anatafutwa na marekani ,nikawaza huyu street mate kitambo hiko kafanya nini mpaka atafutwe? Ghafla tamaa imenijaa nikaanza kuwapigia nduguze niwaulize alipo ,nakuja kugutuka kumbe ni mkorea aliyefanya mambo kwenye mitandao .
Mkuu mdukuzi nisikufiche nilikuwa nakuuza leo
Ningekuwa nakodi dege bongo nakuja gwantanamo Bay kukupa hi ,alafu nakukatia mtonyo kidogo Kama vile mwana kumbe snitchHuo mpunga mrefu sana lazima ungeniuza leo ningekuwa Guantabamo bay
Unataka asilimia ngapi advanceWatume kwanza advansi