Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
tatizo hao jamaa wanafanana kama kitungu maji unaweza kuhisi umepishana nae kariakoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!Kwanini wasitoe tarifa kwenye ubalozi wa North Korea Marekani, au wasifanye kazi na usalama wa North Korea kumpata kama nchi nyingine zilizo staarabika zinavyofanya
Ujeuri na ukiburi wa serikali ya Marekani unachekesha, Computer Fraud and Abuse act ina apply kwa raia wa Marekani, huwezi kum charge raia wa kigeni na kutaka kumfunga kwenye mahakama zako
Majeuri hawa, wanaweza kamata raia wa nchi nyingine ambaye hajawahi kufika Marekani maisha yake yote na kumsomea mashtaka ya kukiuka katiaba yao
Kwanini wasitoe tarifa kwenye ubalozi wa North Korea Marekani, au wasifanye kazi na usalama wa North Korea kumpata kama nchi nyingine zilizo staarabika zinavyofanya
Ujeuri na ukiburi wa serikali ya Marekani unachekesha, Computer Fraud and Abuse act ina apply kwa raia wa Marekani, huwezi kum charge raia wa kigeni na kutaka kumfunga kwenye mahakama zako
Majeuri hawa, wanaweza kamata raia wa nchi nyingine ambaye hajawahi kufika Marekani maisha yake yote na kumsomea mashtaka ya kukiuka katiaba yao
Yale yale,kuna mtu anadai eti mpaka leo kwa kuwa informal kwenye issue ya osama na hajalipwa kitu.MAREKANI - Marekani imemfungulia mashtaka mdukuzi wa Korea Kaskazini, Rim Jong Hyok kufuatia mashambulizi ya mtandaoni ambayo yalisaidia kuiba siri za kijeshi na nyuklia ikisema zawadi ya dola milioni 10 (TZS bilioni 27) itatolewa kwa atakayetoa taarifa.
Yaani serikali ya Marekani kwenda kuwaomba Serikali ya North Korea eti wamkamate huyo jamaa ,ni sawa na kumpa ngedere kesi ya mahindiDuh!
Mimi huwa nadhani wewe ni mtu wa ma Cyber na ungemjua huyu mwamba anavyowatesa
Na hata kusema watoe taarifa ubalozi wa North Korea nchini US ndio umezidi kuyatimba, yaani wewe unafanya cyber gani? au hii ya IT wa kibongo?
Tangu lini North Korea akawa na ubalozi nchini US?
Na ndio, sheria za kimtandao zinaweza kumfungulia mashtaka mtu yeyeto duniani, hata Tanzania wanawezafanya hivyo kama watadukuliwa na hata kama mtu yuko Antactica
Nenda kawasome Lazarus Group mpaka sasa wameiba hela gani kwa njia ya mtandao, ndio utajua kwa nini US ameamua kutoa dau
View attachment 3058013
ndugu umekaa kishamba sana!Kwanini wasitoe tarifa kwenye ubalozi wa North Korea Marekani, au wasifanye kazi na usalama wa North Korea kumpata kama nchi nyingine zilizo staarabika zinavyofanya
Ujeuri na ukiburi wa serikali ya Marekani unachekesha, Computer Fraud and Abuse act ina apply kwa raia wa Marekani, huwezi kum charge raia wa kigeni na kutaka kumfunga kwenye mahakama zako
Majeuri hawa, wanaweza kamata raia wa nchi nyingine ambaye hajawahi kufika Marekani maisha yake yote na kumsomea mashtaka ya kukiuka katiaba yao
Hawa jamaa wanojiita Lazarus group, ni mali ya serikali ya North KoreaYaani serikali ya Marekani kwenda kuwaomba Serikali ya North Korea eti wamkamate huyo jamaa ,ni sawa na kumpa ngedere kesi ya mahindi
Huyo mtu hawezi kufanya kazi bila kupata ridhaa ya serikali ya North Korea ,tena clandestine operations kama hizi za kudukua vitu sensitive kama nuclear nk ,hii ni espionage kabisa ,
Serikali ya North Korea inamiliki vikundi vya wadukuzi wa mtandao , ndio waliowahi kuiba pesa ndefu kule Bangladesh baada ya kudukua remotely mifumo ya kibenki na kufanikiwa kuiba pesa toka kwenye benki hiyo .
Kutokana na vikwazo vya kiuchumi serikali ya North Korea wanafanya mpaka human trafficking , Yaani kuwatumikisha raia wao kama slaves sehemu mbalimbali na pesa inalipwa serikali ya Kim , wanauza mpaka drugs , counterfeits nk ,zote hizo ni rackets za Kim , kiufupi vikwazo vya Marekani vimefanya Kim kuendelea kuishi ile nchi na yeye ndio kama Godfather pale , nchi ishakuwa Cartel ile ,