Marekani yatangaza zawadi ya bilioni 27 atakaefanikisha kumpata mdukuzi

John Sule

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
85
Reaction score
97
MAREKANI - Marekani imemfungulia mashtaka mdukuzi wa Korea Kaskazini, Rim Jong Hyok kufuatia mashambulizi ya mtandaoni ambayo yalisaidia kuiba siri za kijeshi na nyuklia ikisema zawadi ya dola milioni 10 (TZS bilioni 27) itatolewa kwa atakayetoa taarifa.

 
MAREKANI - Marekani imemfungulia mashtaka mdukuzi wa Korea Kaskazini, Rim Jong Hyok kufuatia mashambulizi ya mtandaoni ambayo yalisaidia kuiba siri za kijeshi na nyuklia ikisema zawadi ya dola milioni 10 (TZS bilioni 27) itatolewa kwa atakayetoa.

 
Kwanini wasitoe tarifa kwenye ubalozi wa North Korea Marekani, au wasifanye kazi na usalama wa North Korea kumpata kama nchi nyingine zilizo staarabika zinavyofanya

Ujeuri na ukiburi wa serikali ya Marekani unachekesha, Computer Fraud and Abuse act ina apply kwa raia wa Marekani, huwezi kum charge raia wa kigeni na kutaka kumfunga kwenye mahakama zako

Majeuri hawa, wanaweza kamata raia wa nchi nyingine ambaye hajawahi kufika Marekani maisha yake yote na kumsomea mashtaka ya kukiuka katiaba yao
 
Ubalozi wa North korea Marekani😁😁


Naomba kuuliza tu hivi kuna ubalozi wa North Korea mahali???

Wale jamaa si ndo hawaruhusu mtu kutoka nchini kwao?
 
Kakombeleza hela mitandaoni kwa kudukua taarifa za wateja wa bank ili apate access ya account zao, kaiba taarifa za wagonjwa mahospitalini.
Hela zenyewe alizitolea pale border upande wa China, tena kwenye ATM akazipakia kwenye magunia akavuka nayo lile China and North Korea friendship bridge akachikichia zake Pyong Yang kumpelekea Kiduku magunia ya hela.
 
Huna akiri unadhani hiyo taarifa ndio imepewa jf itangaxe kwamba medium ziingine hazijaguswa. Balozi husika tayari imetoa taarifa hiyo. Ila medium ziinatumika kutangaza hiyo gift maana huyo amewekwa kwenye 25 people most wanted.
Muwe mnafatilia sio kuropoka tu.
 
dah, yaani north korea wapo vizuri namna hiyo?
 
Huo mpunga mrefu sana lazima ungeniuza leo ningekuwa Guantabamo bay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…