Frontsmigo
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 173
- 203
✔️✅Wao wana ushirikiano ulio shibana na Ukraine kwa masilahi yao binafsi sidhani kama itakuwa tatizo Russia akifanya ushirikiano na makundi ya kiasi hapo mashariki ya kati dhidi ya marekani kwa maslahi yake.
Usikimbize mwizi huku ukiwa umeacha mlango wazi wao marekani walipaswa kuhakikisha wamefunga milango yao yote ndipo wamkimbize mwizi.