Marekani yatishia Vikwazo dhidi ya Uganda, Baada ya Bunge kupita kwa Muswada Dhidi ya Ushoga kupita

Marekani yatishia Vikwazo dhidi ya Uganda, Baada ya Bunge kupita kwa Muswada Dhidi ya Ushoga kupita

Mashoga wapo wengi duniani, ni binadamu kama sisi tunaowapinga. Maadamu tulishindwa kuwazuia tangu mwanzo, basi tuwape haki yao. Haki za binadamu ni pamoja na kutokumpangia mtu starehe anayotaka.
 
Shoga likitinduliwa wewe inakuuma nini au na wewe mkundugu wako unawashwa kutinduliwa,ushoga sio tatizo ila mnalikuza na kwakuwa wasiasa wameona mlivyo wajinga wanajichukulia point za kisiasa.
Vipi ukisikia mtoto wako wa kiume anatinduliwa na wenzake huko shuleni?
 
Hivi nchi za Afrika Nani amewaloga?

Miaka 60 ya uhuru Bado wanatishiwa na Marekani nchi isiyo na mwenyewe.

Afrika walivyo wapumbavu wanatishiwa na Marekani wakati Marekani ni nchi ya pili Duniani Kwa kuwa na waafrika wengi.

Tukiamua kuwatumia Waafrika Wenzetu tunaachana kabisa na Mashetani na takataka zinazoitwa mzungu.

Tatizo waafrika miaka nenda Rudi wanashindana kuiba na kujimilikisha Mali huku faida Wakiwa wanaficha Kwa wazungu.

Mpaka Hapo yatakapoibuka mabadiliko mkubwa zaidi ya Kudai Mali za umma zirejeshwe na kuwafukuzilia mbali wezi WOTE ndipo wenye nchi watakaposimamia maendeleo yetu Kwa faida ya wengi.

Dunia ya leo kutishiwa na Marekani ni uchoko.

Yaani nchi itishiwe na Marekani wakati hatuna bidhaa yoyote ya Maana tunayouza Wala Kununua Marekani zaidi ya wao kuja kuiba Madini yetu. ?

Mwananchi Wa kawaida Hana uhusiano Wowote na Marekani zaidi ya biashara za mitandao. Wazungu na wachina Wanahitaji Soko na Sisi watuache tusimamie utamaduni wetu. Hatujawawekea wazungu vikwazo Vya uchumi Bali tumewakataza watu wetu wasijihusishe na vitendo viovu vyenye Nia ya kuangamiza kizazi cha binadamu Duniani.

Kwani tukiamua kuweka Sheria Kali Kwa watu Wetu wao wanaumia nini ? Kwani wanahitaji mashoga kuja kujiuza Afrika ? Au bidhaa wanayotuuzia ni Ushoga .? Au Madini yetu wanayotuibia inahusiana vipi na mashoga? Wao watafute mbinu Zao za kumiliki Soko la Dunia lakini SIO kueneza Ushoga. Wanafaidika nini na Ushoga kama SIO Mawakala Wa Shetani.
Hao mashoga ni ndugu zetu na tumewapa nafasi ya kuacha biashara Yao haraka Vinginevyo tutawachukulia hatua Kali za kisheria .

Sheria ile ni ya kuwakataza wananchi kujiepusha na vitendo vya kishoga ,ulawiti, Ndoa za jinsia Moja n.k. Sasa inahusiana nini na biashara na uchumi Wa Marekani mpaka waweke vikwazo!?

Hakuna mzungu aliyetishiwa kunyanganywa mali zake n.k. Sasa iweje wao wakasirike kana mwamba Ushoga ukiisha Uganda uchumi Wa Marekani utashuka. Hiví watu wakifirana wanainua Vipi uchumi Wa Marekani?

Kwetu Afrika Ushoga, ulawiti , Ndoa za jinsia Moja vinaathiri nguvu kazi yetu na kulitia hasara taifa. Vijana wanaofokolewa wanapata maambukizi kirahisi sana na wengi wanaishi maisha Duni na wazungu hawawasaidii chochote zaidi ya kuhamasisha vijana wengi zaidi wajifunze kufokolewa na kufokoa. Je, waafrika WOTE Wakiwa mashoga Wazungu wanapata faida Gani? Lazima tujiulize?

Hao Wamarekani na nchi za magharibi wanapaswa wawahamasishe mashoga wanaoishi Uganda na kwingineko wafuate Sheria tu na sio kukaidi Sheria za nchi.

Osama Bin Laden alikua ni Kiungo Muhimu sana Kati ya Heshima na upuuzi Wa Wazungu.
 
Back
Top Bottom