Marekani yatoa donge nono kwa Gaidi Mojtaba Khamenei na wenzake!!

Marekani yatoa donge nono kwa Gaidi Mojtaba Khamenei na wenzake!!

Vipi siulikuwa unamsifu Israel na USA wanauwezo wakuwagundua wapo wapi naona unajisuta sasa. Nilikuambia USA na Israel bila kutegemea wasaliti hana lolote.
Panga pangua Israel na Marekani ni Washirika!!

Endeleeni tu kujipa moyo lakini muelewe kipigo kiko palepale!!
 
Back
Top Bottom