Marekani inatoa zawadi ya dola milioni 10 kwa taarifa kuhusu uongozi uliobaki wa Iran, hasa viongozi wa IRGC. Na Wahuni wengine kama Majitaka Khamenei zitto juniorgallow bird
Vipi siulikuwa unamsifu Israel na USA wanauwezo wakuwagundua wapo wapi naona unajisuta sasa. Nilikuambia USA na Israel bila kutegemea wasaliti hana lolote.