Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Mkuu usiwatishe waTZSasa hizo ndio zimekuja spesho kuwaua mataga na sukuma gengi 😂😂😂
Achana na genge la machizi hawaCDM si walisema jumuiya ya kimataifa ipo upande wao na hawatasaidia chochote TZ sababu ya kukamatwa kwa Abubakar? Hawa CDM hawawajui mabeberu vizuri
L7o7Taga watapinga
Tatizo kubwa la bi mkubwa ni katiba na demokrasia ya vyama vingi.Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika
Upokeaji wa Chanjo hizo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ukiongozwa na Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima.
Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika
Upokeaji wa Chanjo hizo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ukiongozwa na Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima.
Nasikia ni J&JWakuu ni aina gani ya chanjo tumeletewa kutoka marekani?Mbona imekua siri hawasemi?
Nzur sana hiyoNasikia ni J&J