#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

Habari za jioni wakuu,
Serikali leo imepokea awamu ya kwanza ya chanjo ya kupambana na ugonjwa wa corona iliyowasili leo mchana.
Chanjo hiyo imewasili na kupokelewa na Waziri wa afya ndugu,Dkt Dorothy Gwajima.
Chanjo hiyo imewasili na ndege ya shirika la ndege la Emirates na kupokelewa mchana huu.
Jikinge, wakinge na wengine .
Corona inazuilika.View attachment 1866489
IMG-20210724-WA0026.jpg

View attachment 1866495
 
Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika

Upokeaji wa Chanjo hizo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ukiongozwa na Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima.
Tunawashukuru,sababu hawajaanza kutusaidia leo
Walianza zamani sana,ile miaka ya chakula cha yanga,na vile vyakula vilitwa bruga,miaka ya hivi karibu wakahamia kwenye ARVs,TB,Malaria,huduma za afya kwa mama na mtoto, mengi.hao hao ndiyo wanaoingiza fedha TASAF,chanjo ya surua,polio,.sikuelewaaga kabisa kwamba sasa hiv wana nia ya kutuua kupitia chanjo ya covid 19.sijui hiyo nia ya sasa iwe ni kwa sababu gani. sababu ukweli nchi yetu imeishi kwa misaada kwa kiasi kikubwa kutoka kwao saana,na inaendelea kutusaidia pakubwa

labda wale wajuvi watuambie sababu ni nini?
ni makinikia au ni gesi?au mbuga za wanyama? wanataka kutua kwa chanjo kwa sababu ya nini eti?
 
God bless you
 
ahsante, Udugu wetu na Marekani hauna mashaka hata kidogo.

ahsante Rais wetu Mama Samia kwa kuimarisha zaidi ushirikiano wetu na USA

Sana, uhusiano wetu umeanza mbali. Hawa si mabeberu kama ambavyo wahafidhina wa CCM ya mwendazake inavyotaka kuuaminisha umma wa waTanzania.

CCM ya awamu ya 6 muache kuigiza siasa za kidhalimu za awamu ya 5 ili msiutie doa uhusiano wa Tanzania na wadau wa Maendeleo toka nje.

Hotuba yake waziri wa mambo ya nje wa Tanzania kuadhimisha uhuru wa Marekani, Mh. Liberata Mulamula alizungumzia masuala mengi ya jinsi uhusiano ulivyoanza tangu wakati wa Mwalimu Nyerere hadi changamoto za virusi vya covid-19 Delta Variant 2021 kupatia chanjo za kuzuia Covid-19, mazingira endelevu ya uwekezaji Tanzania kwa kuondoa zaidi ya sheria 154 za kodi vilivyoleta ukwamo kwa wafanyabiashara kuwekeza Tanzania n.k

4 Jul 2021
Hon Amb Liberata Mulamula Speech during the celebration of U.S. Independence in Dar es salaam on July 2nd, 2021

Source : USEmbassyTZ

Waziri Dr. Liberata Mulamula amezidi kuonesha jinsi mazingira ya kibiashara yanavyoweza kunoga ikiwa sera sahihi mtambuka zitafuatwa kwa kunuku takwimu hizi toka Idara ya Biashara ya Marekani Tanzania | United States Trade Representative. b:

Tanzania
AGOA Status: Tanzania is eligible for African Growth and Opportunity Act (AGOA) benefits this year. It also qualifies for textile and apparel benefits.

Trade Agreements: The U.S. signed Trade and Investment Framework Agreements (TIFA) with the East African Community (EAC) in 2008, and with the Common Market for Eastern and Southern Africa (COMESA) in 2001. Tanzania is a member of both the EAC and COMESA regional organizations. USTR’s Africa Office is also leading U.S. efforts to forge a new trade and investment partnership with the East African Community.

U.S.-Tanzania Trade Facts

In 2019, Tanzania GDP was an estimated $62.2 billion (current market exchange rates); real GDP was up by an estimated 6.3%; and the population was 56 million. (Source: IMF)

Tanzania is currently our 121st largest goods trading partner with $462 million in total (two way) goods trade during 2019. Goods exports totaled $333 million; goods imports totaled $130 million. The U.S. goods trade surplus with Tanzania was $203 million in 2019.

Exports

  • Tanzania was the United States' 118th largest goods export market in 2019.
  • U.S. goods exports to Tanzania in 2019 were $333 million, up 0.2% ($607 thousand) from 2018 and up 110.5% from 2009.
  • The top export categories (2-digit HS) in 2019 were: aircraft ($175 million), machinery ($27 million), cereals (wheat) ($23 million), plastics ($19 million), and milling products ($9 million).
  • U.S. total exports of agricultural products to Tanzania totaled $47 million in 2019. Leading domestic export categories include: wheat ($23 million), prepared food ($3 million), pulses ($3 million), vegetable oils (ex. soybean) ($3 million), and poultry meat & products (ex. eggs) ($2 million).
Imports

  • Tanzania was the United States' 119th largest supplier of goods imports in 2019.
  • U.S. goods imports from Tanzania totaled $130 million in 2019, up 34.2% ($33 million) from 2018, and up 162.7% from 2009.
  • The top import categories (2-digit HS) in 2019 were: precious metal and stone (other stones, not strung) ($41 million), knit apparel ($29 million), woven apparel ($23 million), coffee, tea & spice (coffee) ($10 million), and vegetable saps and extracts (pectates) ($6 million).
  • U.S. total imports of agricultural products from Tanzania totaled $24 million in 2019. Leading categories include: unroasted coffee ($9 million), cocoa beans ($2 million), planting seeds ($2 million), tree nuts ($1 million), and spices ($321 thousand).
Trade Balance

  • The U.S. goods trade surplus with Tanzania was $203 million in 2019, a 13.8% decrease ($33 million) over 2018.
Investment

  • U.S. foreign direct investment (FDI) in Tanzania (stock) was $1.5 billion in 2019, a 5.2% increase from 2018. There is no information on the distribution of U.S. FDI in Tanzania.
  • Tanzania's FDI in the United States (stock) was $1 million in 2019, unchanged from 2018. There is no information on the distribution of Tanzania FDI in the U.S.
 
Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika

Upokeaji wa Chanjo hizo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ukiongozwa na Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima.

Watanzania wenzangu SAYANSI si SIASA....

Shime tujitokezeni tukachanje chanjo hizo ili tupambane vyema na UGONJWA HUU ULIOTAPAKAA!!

#AfyaYakoNiMuhimu
#AfyaYaMwenzakoPiaMuhimu
 
CDM si walisema jumuiya ya kimataifa ipo upande wao na hawatasaidia chochote TZ sababu ya kukamatwa kwa Abubakar? Hawa CDM hawawajui mabeberu vizuri
Wewe unapenda chama chako, au mtu wako, na wala siyo Tanzania kama unavyojitangaza.

Hakuna mpenda Tanzania asiyekuwa na upeo kama wako.
 
Mabeberu wameleta chanjo hizi zitakua feki au wanataka kututoa uzazi 🤣🤣🤣 ukiwa masikini wakati mwingine raha sana,kwenye siasa tunaupiga mwingi sana ila tunakua wanyonge kwenye shida 🤣🤣
 
Hebu tuwekee ushahidi wa hiyo kauli ilitolewa na Kiongozi gani wa Chadema lini na wapi.
CDM si walisema jumuiya ya kimataifa ipo upande wao na hawatasaidia chochote TZ sababu ya kukamatwa kwa Abubakar? Hawa CDM hawawajui mabeberu vizuri
 
Back
Top Bottom