#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

Mtakufa nyie mnaozishobokea utafikiri zinazuia mtu asife.🤗🤗

Ule upigwaji mlikuwa mnapigwa nini mamburula nyie? Ile chanjo biashara mlikuwa mnauziwa nini wapuuzi nyie?

Si muda mrefu mtatokea na mapambio ya kusifia chanjo.

Hamjifunzi wapuuzi wakubwa nyie.
 
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kati ya mambo yanayonifurahisha katika hili igizo zima la UVIKO-19, ni kuona watanzania wameyapuuza mabarakoa na machanjo ya mabeberu.

Hii inathibitisha KWAMBA, UVIKO-19 ni igizo lililokosa wateja Tanzania, NA KWAMBA, uelewa wa watanzania kuhusu UVIKO uko katika viwango vya elimu ya juu — Hawababaishwi na maigizo.

Achana na hawa madalali wa chanjo wanaoposti majeneza yenye mchanga. Hao nao walishapuuzwa pia, wamebaki kuhaha tu hawajui wataambia nini wazungu baada ya kutafuna mapesa yao ya misaada.

Ukweli ni kwamba, watanzania walimuelewa vyema Jemedari Chuma John Pombe Joseph Magufuli. Walishamaliza na kufunga jalada. Wako bize wanachapa kazi [emoji818][emoji818][emoji818]

Mengine yote yanayoendelea kwa sasa ni maigizo ya futuhi tu. Tulishamalizana na hizo habari toka kitambo.

Tunadunda tu. Mabarakoa na machanjo uchwara tupa kule.

Hongera JPM, hongera watanzania.
 
The Latest: Tanzania gets 1 million J&J vaccines from U.S.​

kesq-us-world.png

DAR ES SALAAM, Tanzania — Tanzania has received its first batch of 1 million Johnson & Johnson COVID-19 vaccines donated by the U.S. government.

Tanzania had been among the few countries in Africa yet to receive vaccines or start vaccinating its population, mainly because its former leader had claimed prayer had defeated COVID-19 in the country. The vaccines were received by the foreign affairs minister and the U.S. ambassador at the airport in Dar es Salaam.

Former Tanzanian President John Magufuli, who died in March, had refused to accept vaccines after he claimed three days of prayer had healed the country of the virus in June 2020.

Magufuli’s deputy, Samai Suluhu Hassan, took over as president in line with the country’s constitution and became the first female president in Tanzania.

Hassan has reversed Tanzania’s practice of denying COVID-19′s spread in the East African country.

Yule kichaa alituchelewesha sana.

Yeye na washirika wake wana wajibika moja kwa moja na vifo vyote vilivotokea wakati wote wa ugonjwa huu pasipo na kuchukua hatua zozote.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
CDM si walisema jumuiya ya kimataifa ipo upande wao na hawatasaidia chochote TZ sababu ya kukamatwa kwa Abubakar? Hawa CDM hawawajui mabeberu vizuri
Saivi mataga wametega nyungu kwa mabeberu
 
Sijui sasa hivi mtakua mnaenda kusema kwa nani. Mabeberu yanampenda mama kwerikweri yanapishana tu kila siku kujikomba kwake. Vikwazo lisu anavyosema atasikilizwa na beberu gani?
Mwanzo mlisema lisu mabwana zake mabeberu sasa nyie sasahivi naona mmempindua lisu mnapanga foleni tu
 
Jitu linasifia huo ujio wa chanjo utafikiri hizo chanjo zinazuia maambukizi wakati mapambano ya kuzuia maambukizi ya corona tumefeli, bado hapo kuna kibarua cha kuwashawishi raia kukubali kwa hiari kuchomwa hizo chanjo wakati huo maambukizi yanaendelea.
 
Kule Mareka
Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika

Upokeaji wa Chanjo hizo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ukiongozwa na Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima.

Kule Marekani na nchi nyingine za majuu dozi hizi zinakuwa kwenye magari maalumu yenye containers zenye vyumba maalumu vya baridi,tuliambiwa hapo mwanzo hizi chanjo zinahitaji ubaridi mkubwa na hata tumeona magari yenye makontena ya baridi yakiingia moja kwa moja kwenye mabohari maalumu yenye ubaridi mkubwa,kwetu hapa nashangaa chanjo ipo kwenye chetezo cha wazi na jua kali linawaka, sijui hadi kufika Liwale zitakuwaje.
 
Kwa hiyo mkuu unadhani una ufahamu mkubwa zaidi kwenye kuisafirisha hiyo chanjo kuliko beberu mwenye nayo?

Kwa hakika tuko vizuri.
 
Mkuu lengo la beberu limetimia ,wewe hushangai dalali wa mabeberu Tony Blair katia timu na kuahidi kututafutia wawekezaji wa viwanda vya chanjo, kwa wale ambao wamesahau, Tony Blair baada ya kuondoshwa na Gordon Brown kwenye uwaziri mkuu kazi yake kawa kama Insta influencer, analipwa kwa kazi ya kupiga debe na anachaji pesa ndefu, wakati wa mwendazake hatukuwahi kumsikia Tony Blair kuja Tanzania kunadi biashara za mabeberu, Tony Blair sio mtu mzuri,ni wa kuogopwa kama ugonjwa wa ukoma.
 
Kwa hiyo hapa hamjapigwa dah!Kweli usichokijua ni usiku wa giza.Afadhali ile haikua na madhara,soma hii👇ni kilio dunia nzima kwa walio dungwa hiyo sumu.Sijui mmelogwa!?

Tens of Thousands of COVID-19 “Vaccine” Injured in the U.S. Begging for Help as the Medical Community Turns Their Back on Them.​

Private group on Facebook “Covid19 Vaccine Victims & Families” group.​

48,635 members as of July 21.21
3 min video – injured people identify the vaxx company and their US location.
What will you do if presented with medical bills after treating adverse covid vaxx effects that can range up to $1 million? There’s no way most people can pay these outrageous bills Tens of Thousands of COVID-19 “Vaccine” Injured in the U.S. Begging for Help as the Medical Community Turns Their Back on Them

Note: check with your insurance provider to see if you will be covered for any after injection adverse effects ..
Coup-vid injured facing $million medical bills.
Founder Robert Kennedy Jr. of Children’s Health Defense – The Defender – reports on 2 June 2021 about a 38-year-old woman, who nearly died after a J&J covid-vaccine. She suffered various organ failures. The woman was healthy until she received the J&J untested covid “vaccine”. Within a week, she started experiencing headaches, abdominal pain and nausea and was eventually diagnosed with severe blood clots that caused most of her vital organs to fail. Only intense medical treatment, 33 days of hospitalization, of which 22 days of intensive care, saved her life – and left her with a medical bill of over a US$ 1 million – for which nobody admits responsibility. See here. Source Covid: Threats, Vaccine Injuries and Deaths Abound | Dissident Voice
High school senior Emma Burkeyreceived the one-shot Johnson & Johnson (J&J) COVID vaccine April 1. Within two weeks she was placed in an induced coma. She underwent three brain surgeries after experiencing seizures and developing blood clots in her brain.
When Burkey was well enough to be transferred from the hospital to a rehabilitation center, her first round of bills totaled $513,000.
Hundreds Injured by COVID Vaccines Turn to

Tulivyo wa ajabu tunaletewa kile wanacho kiita msaada huku mfadhili huyo akijua fika kwamba chanjo za Johnson&Johnson zina walakini katika miili ya binadamu, hayo yamedhibitika mpaka nchini mwao - sisi tunapokea tu bila ya kuhoji - kisa msaada!!

Kwa nini hatutaki kujifunza kutoka kwa Dr.Hussein Mwinyi ambaye licha ya kuwa Rais wa Zanzibar vile ni Daktari wa binadamu, anajua sana athali zinazo weza kusababishwa na chanjo zinazo zalishwa kwa teknilojia ya kijinetiki ambazo kusema kweli wala si chanjo per se ni experimental pseudo GMOs!! Hata mvumbuzi wake Dr.Robert Malone anapinga matumizi yake hivi sasa, amasema chanjo za mRNA zimewahishwa mapema mno kuingizwa sokoni kabla hata hazija fanyiwa utafiti/majaribio ya kutosha, ushauri/maoni yake yana puuziwa tu-wamefikia hatuwa ya kumtishia maisha yake.

Swali kubwa hapa ni: kwani Tanzania bara ikifuata nyayo za Tanzania visiwani tukaagiza chanjo za kovid zinazo zalishwa kwa njia ya asili ambayo ni proven miaka nenda rudi, tukachana na hizi za mRNA ambazo zina changa moto nyingi ambazo ni highly unpredictable sioni kama tukiachana nazo tutapungukiwa kitu, kinyume chake actually Serikali ndio itakuwa inatimiza wajibu wake wa kujali/thamini afya za RAIA wake kwa dhati, Washauri wa Rais wasimpotoshe mama wa watu tukakuta Taifa letu na raia wake wanaingizwa kwenye lindi la madhara za kinga ya mwili ambayo ni irreversible tukija kushtuka itakuwa too late - my opinion.

Nimalizie kwa kuwasihi Viongozi wetu kwamba tafadhali sana fanyeni hima muagize chanjo kutoka Uchina, Urusi au Cuba - salama yetu itapatikana huko, sina lengo la kuyasema vibaya mataifa yanayo zalisha chanjo za mRNA waendelee kuzitumia huko kwao lakini wasishinikize mataifa ya kiafrika kutumia chanjo zao iwe kwa kununua au kupewa misaada - kumbukeni majuto ni mjukuu.
 
Jitu linasifia huo ujio wa chanjo utafikiri hizo chanjo zinazuia maambukizi wakati mapambano ya kuzuia maambukizi ya corona tumefeli, bado hapo kuna kibarua cha kuwashawishi raia kukubali kwa hiari kuchomwa hizo chanjo wakati huo maambukizi yanaendelea.
Well said mkuu, actually hivi sasa Viongozi Duniani wana wajibu wa kijifunza kutoka Uchina linapo kuja suala la kupambana/dhibiti na maambukizi ya kovid-19, sio siri Wachina wamefanikiwa sana ku- contain.

Ambacho kinanishangaza mimi naona Mataifa ya magharibi kama kuna uhusiano fulani kuhusu maambukizi mapya na chanjo zao in as if chanjo ndio zinachochea kuzidi kwa maambukizi badala ya kuyapunguza - wao wanadai eti maambukizi zanaongezeka kwa wale ambao hawajapatiwa chanjo - hii wapi na wapi? mbona hayo hayatokei huko Uchina?

Si hilo tu inaelekea vile vile kwamba chanjo za mRNA zinasababisha Vifo kuliko Covid yenyewe - takwimu za Scotland kwa mfano: zinaonyesha kwamba raia 54,000 walipoteza maisha ndani ya miezi miwili kutokana na chanjo zenyewe, wakati vifo kutokana na covid-19 vilikuwa ni idadi ndogo - what does that tell you - mark you, 'am not a scare monger, lakini tukubali kwamba kuna tatizo si bure.
 
chanjo ya J&J inatia wasiwasi kwa kweli. Hawa jamaa wana skendo kwenye powder zao za watoto. Ilikuwa ipatikane ya Moderna na pfizer
 
Tulivyo wa ajabu tunaletewa kile wanacho kiita msaada huku mfadhili huyo akijua fika kwamba chanjo za Johnson&Johnson zina walakini katika miili ya binadamu, hayo yamedhibitika mpaka nchini mwao - sisi tunapokea tu bila ya kuhoji - kisa msaada!!

Kwa nini hatutaki kujifunza kutoka kwa Dr.Hussein Mwinyi ambaye licha ya kuwa Rais wa Zanzibar vile ni Daktari wa binadamu, anajua sana athali zinazo weza kusababishwa na chanjo zinazo zalishwa kwa teknilojia ya kijinetiki ambazo kusema kweli wala si chanjo per se ni experimental pseudo GMOs!! Hata mvumbuzi wake Dr.Robert Malone anapinga matumizi yake hivi sasa, amasema chanjo za mRNA zimewahishwa mapema mno kuingizwa sokoni kabla hata hazija fanyiwa utafiti/majaribio ya kutosha, ushauri/maoni yake yana puuziwa tu-wamefikia hatuwa ya kumtishia maisha yake.

Swali kubwa hapa ni: kwani Tanzania bara ikifuata nyayo za Tanzania visiwani tukaagiza chanjo za kovid zinazo zalishwa kwa njia ya asili ambayo ni proven miaka nenda rudi, tukachana na hizi za mRNA ambazo zina changa moto nyingi ambazo ni highly unpredictable sioni kama tukiachana nazo tutapungukiwa kitu, kinyume chake actually Serikali ndio itakuwa inatimiza wajibu wake wa kujali/thamini afya za RAIA wake kwa dhati, Washauri wa Rais wasimpotoshe mama wa watu tukakuta Taifa letu na raia wake wanaingizwa kwenye lindi la madhara za kinga ya mwili ambayo ni irreversible tukija kushtuka itakuwa too late - my opinion.

Nimalizie kwa kuwasihi Viongozi wetu kwamba tafadhali sana fanyeni hima muagize chanjo kutoka Uchina, Urusi au Cuba - salama yetu itapatikana huko, sina lengo la kuyasema vibaya mataifa yanayo zalisha chanjo za mRNA waendelee kuzitumia huko kwao lakini wasishinikize mataifa ya kiafrika kutumia chanjo zao iwe kwa kununua au kupewa misaada - kumbukeni majuto ni mjukuu.
Mzee unasema TZ walau ingeagiza chanjo ambazo zimetengezwa kwa njia ya asili ambayo ipo proven. Ni ile kuingiza virus aliekuwa hana athari ndani ya mwili. Basi J&J ndio wanatumia hio. chanjo yao sio mRNA, ni hio ya asili unayozungumzia hapo.

mRNA inatumiwa na Moderna na pfizer mkuu, na ndio zinaaminika kuliko hio J&J iliotumia njia za asili, na ndio imejaa walakin. J&J wenyewe wana skendo ya powder zao kuwa zinasababisha cancer.

Zanzibar niliskia una option unachagua chanjo kutoka kampuni unayoitaka.
 
Unaelewa tofauti ya ndugu na rafiki?
ahsante, Udugu wetu na Marekani hauna mashaka hata kidogo.

ahsante Rais wetu Mama Samia kwa kuimarisha zaidi ushirikiano wetu na USA
 
Covidiots wa bongo chali
Chanjo angalau kiasi fulani ambayo itaku-spare ni ya Moderna,ingawa nayo inakufanya hatimaye kuwa Zombie.Africa nchi iliyochaguliwa kupata chanjo ya Moderna kama nakumbuka vizuri ni Rwanda.Rwanda imechaguliwa ku-provide serfs for the NWG.Chanjo ya Moderna wanasema itakukinga na ile variant mbaya itakayo letwa.Ambao watakataa hii chanjo ya sasa kimbunga cha kweli kinachokuja baadae kitawafuta hata wao.
 
Max @Mods wajibikeni kuzuia disinformation hatari kama hizi kwenye platform yenu.
Kwa hiyo hapa hamjapigwa dah!Kweli usichokijua ni usiku wa giza.Afadhali ile haikua na madhara,soma hii[emoji116]ni kilio dunia nzima kwa walio dungwa hiyo sumu.Sijui mmelogwa!?

Tens of Thousands of COVID-19 “Vaccine” Injured in the U.S. Begging for Help as the Medical Community Turns Their Back on Them.​

Private group on Facebook “Covid19 Vaccine Victims & Families” group.​

48,635 members as of July 21.21
3 min video – injured people identify the vaxx company and their US location.
What will you do if presented with medical bills after treating adverse covid vaxx effects that can range up to $1 million? There’s no way most people can pay these outrageous bills Tens of Thousands of COVID-19 “Vaccine” Injured in the U.S. Begging for Help as the Medical Community Turns Their Back on Them

Note: check with your insurance provider to see if you will be covered for any after injection adverse effects ..
Coup-vid injured facing $million medical bills.
Founder Robert Kennedy Jr. of Children’s Health Defense – The Defender – reports on 2 June 2021 about a 38-year-old woman, who nearly died after a J&J covid-vaccine. She suffered various organ failures. The woman was healthy until she received the J&J untested covid “vaccine”. Within a week, she started experiencing headaches, abdominal pain and nausea and was eventually diagnosed with severe blood clots that caused most of her vital organs to fail. Only intense medical treatment, 33 days of hospitalization, of which 22 days of intensive care, saved her life – and left her with a medical bill of over a US$ 1 million – for which nobody admits responsibility. See here. Source Covid: Threats, Vaccine Injuries and Deaths Abound | Dissident Voice
High school senior Emma Burkeyreceived the one-shot Johnson & Johnson (J&J) COVID vaccine April 1. Within two weeks she was placed in an induced coma. She underwent three brain surgeries after experiencing seizures and developing blood clots in her brain.
When Burkey was well enough to be transferred from the hospital to a rehabilitation center, her first round of bills totaled $513,000.
Hundreds Injured by COVID Vaccines Turn to
 
"Coron ni futa"- jiwe 2020

Back
Top Bottom