Marekani yatoa msaada wa Kijeshi wa Bilioni 627 kwa Ukraine

Ukraine atakuwa amechakazwa mno, ni kweli kabisa usemacho, Russia je atakuwa amepoteza nini?
 
Putin akisikia hivyo ,utasikia mkiendelea kuwapa silaha nzito ntaivamia Ukraine yote na majirani
Na anaweza sio kuwa hawezi kama mabeberu wa ulaya na America wametepeta 🤸
 
Putin ana ule ugonjwa wa kusahau dementia au Alzheimer kwa hiyo hajui kama vile anapigana vita . RIP Putin.
 
Hzo hela wanapewa wafanyabiashara wa silaha wa USA ndio wanatuma weapons to Ukraine na hyo ndio sababu hyo vita haitakiwi kuisha watu wanapga hela balaa
Ni kama marekani anatoa ruzuku kwa watengeneza siraha wa USA. Then Ukraine atairudisha hiyo ruzuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…