Marekani yatuhumiwa kutekeleza ubaguzi wa rangi katika suala la wakimbizi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unapomfanyia wema mtu mweusi jiandae kwa kulaumiwa huko mbeleni .😁😁😁
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unapomfanyia wema mtu mweusi jiandae kwa kulaumiwa huko mbeleni .😁😁😁
Yani jamaa anaambiwa itabidi uchangie 10% mwanao aendelee soma. Anasema yeye na mkewe hawawezi afford maana inabdi pia watume pesa afrika.
Basi yule dada anajitahidi mwelewesha maskn yani anambembeleza aelewe.
 
Mambo YA OVYO SANA, Sasa ikiwa wenyewe ndio wameamua kuwa hawataki wageni weusi kwenye nchi yao tatizo liko wapi? Watu weusi tuache kiherehere
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hivi unalijua bata la πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡Έ mkuu !!!!!?.

Kule mixer kitimoto πŸ–πŸ–huko kwingine atazionea wapi?
 
Marekani wangekuwa wabaguzi Obama asingekuwa Raisi!
Utapata hata ujumbe wa nyumba.10 uarabuni, india, china, urusi somalia.....??
Futa huo uzi unatia kichefu chefu[emoji12]
Hapo tu Zanzibar mtoka bara anabaguliwa kama shetani vile,wakati mnasema ni nchi moja,acha marekani wajiamulie maisha yao wenyewe,after all mtu mweusi hapendwi popote duniani!! Hata kwao afrika pia hapendwi,ndiyo maana mmoja akipata nafasi ya kuwatawala waafrika wenzake anawatesa na kuwapora bila huruma,fxck blacks,umewahi kukamatwa na polisi barabarani unatembea zako kisha wakakuita mzururaji? Na sero unalala,na makofi unakula,ila tanzania haijawahi kuwa na mzururaji wa ngozi nyeupe,kuzaliwa mweusi ni laana tosha,kwanza hatupendani,pili hatupendwi,balaa tupu
 
Yani jamaa anaambiwa itabidi uchangie 10% mwanao aendelee soma. Anasema yeye na mkewe hawawezi afford maana inabdi pia watume pesa afrika.
Basi yule dada anajitahidi mwelewesha maskn yani anambembeleza aelewe.
πŸ˜‚πŸ˜‚ sema πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡Έ ni nchi ya ajabu kama ulivyosema mwanzoni.
Mwambie akalete huo uhuni nchi nyingine aone.😁😁
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ sema πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡Έ ni nchi ya ajabu kama ulivyosema mwanzoni.
Mwambie akalete huo uhuni nchi nyingine aone.😁😁
Huku unaenda tafta kitu haki yako unafika NIDa madada wanapga story hawana hata habari na wewe.
Ukiwakoromea wanakuzngua
 
Tuache kuwa wanaafiki[emoji12]
Nimemshauri Afute uzi huu na aache kulia lia!
Kama ubaguzi muanzilishi ni Mungu Aliye Tuumbia; Mabara, Taifa, Kabila, Lugha na rangj!
Ukiona nyani wa Tz Mweusi na nyani wa India ni mhindi na nyani wa china ni mchina....!
Kama muumin Akasome Agizo hili la Mungu kuhusu wageni!
[emoji116][emoji116]
Kumbukumbu la Torati 17
15 usiache kumweka yule atakayechaguliwa na Bwana, Mungu wako, awe mfalme juu yako; umweke mmoja katika ndugu zako awe mfalme juu yako; usimtawaze mgeni juu yako, ambaye si ndugu yako.

16 Ili asifanye farasi wake kuwa wengi, wala asiwarudishe watu Misri, ili apate kufanya farasi kuwa wengi; kwa kuwa Bwana amewaambia, Tangu sasa msirudie tena njia ile.

17 Wala asijizidishie wake, ili moyo wake usikengeuke; wala asifanye fedha zake na dhahabu kuwa nyingi mno.
 
Somalia haiko kwenye vita kwa sasa. Kuna watu ambao kutwa ni kuitukana US ila wakipata shida kidogo hukimbilia huko huko US. Aachane na nchi za "kikafiri" aelekee Afghanistan kwani nao hawana wahudumu wa afya wa kutosha.
Inaonesha una udini sana na inaonekana wewe ni ni wa dini ile ya magharibi hivyo nawe umeanza kujihisi ni mzungu kumbe ni Mndendeule wa Namtumbo kijiji cha Lituhi na kwa bahati mbaya ni mweusi utadhani umepiga mbizi kwenye boza la kiwi.

Nakutaarifu kuwa na hiyo rangi yako na pamoja na kuwa wewe ni mbuzi kutoka vatikan wewe si lolote si chochote mbele ya mzungu! Wewe ni nyani na ukijitahidi wewe ni sokwe mbele ya Mzungu hivyo usimtenge mwafrika mwenzio mliokuwa mnasali pamoja kwenye mapango na miti mikubwa kabla ya mwaarabu na mzungu kuwahadaa na miungu yao. Siku tukifunguliwa akili tukagundua kumbe dini zote zilizokuja ni uongo wa kutupwa kwamba tumefanywa mateka wa fikra tutakuja jikuta sisi waafrika tunaofanana rangi na kila kitu ni ukoo mmoja so take care.
 
Mental constipation coupled with mouth diarrhea. You are second to none in spewing rubbish.
 
Hata hawa makocha wa Azam wa sasa walikimbilia Ukimbizini Marekani na Uraia wakapewa.
 
Ukitaka kujua kwanini waafrika walifanywa watumwa na ni wajinga wasio na akili.
Basi soma huu uzi na uone jinsi waafrika wanavyowakanyaga waafrika wenzao bila sababu za msingi.

Pathetic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…