Marekani yaungana na Russia, Korea Kaskazini na Belarus kupinga azimio la Umoja wa mataifa kulaani uvamizi wa Russia

Trump ana matatizo.
Mshindi ndiye huandika historia. Deep down Trump hitler atakuwa shujaa kwake ndiyo maana mshikaji wake musk alionyesha ishara ya naz na anaunga mkono chama cha afd.
Sitoshangaa siku moja US kuside na china. Ni suala la maslahi tu hakuna kizuri wala kibaya bali inategemea unatazama jambo kwa angle gani.
 
wewe akili kumbe huna!
NK ana vikwazo, hivyo biashara nyingi anafanya kimagendo so huwezi jua GDP yake kwa sababu huna takwimu halisi....

nchi inatengeneza rocket, satelite, nyuklia, silaha za kila aina, nyambizi, afu unalinganisha na gdp ya tz?

sijui kwanini mnapojadili haya mambo huwa mnajitoa akili, au ndio kuwa brainwashed?
 
Marekani aache kufadhili magaidi tuone ,aachane na magaidi kama Israel na ISIS.
 
Yan wengi huw wanashindw kujiuliza maendeleo hayo ya kiteknolojia hayawez kuja kwa nchi masikin wala yeny uchumi wa kati
 
Na jibichwa lako Hilo unaamini kabisa kuwa mshahara ni $ 1-3 Kwa mwezi.... Wewe ni mpumbafu.....
 
Marekani ili idump Republic of China na kuiunga mkono People’s Republic of China kwa maslahi yake binafsi wala sio kitu kigeni U.S kutemana na yule anaye onekana ni rafiki yake kwa ajili ya maslahi yake ni kipindi cha hivi karibuni tu ndio wanajifanya wanajali sana kuhusu Taiwan na sababu ni kuwa China imekuwa tishio zaidi kwao
 
Kama siyo unafiki US imeziacha nchi za EU!
Huenda ukawa mwisho wa NATO.
na EU ikiwa na jeshi tujipange kulia , hao wazungu wa ulaya ni wabishi sana , USA aliwalemaza kwa kuwabeba mgongoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…