SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Leo ameikataa Nchi yake.Wew jamaa habar za urusi mbona hua znakutoa roho hvyo?! Uko sawa kweli?!
Ajabu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ameikataa Nchi yake.Wew jamaa habar za urusi mbona hua znakutoa roho hvyo?! Uko sawa kweli?!
Si rahisi kiivyo,ukitaka kujua rudi katika historia,jua sababu za kuundwa kwake.Kama siyo unafiki US imeziacha nchi za EU!
Huenda ukawa mwisho wa NATO.
US anahiitaji sana NATO ktk operation zake nyingi tu za kijeshi Trump sijui kaona Nini.Kama siyo unafiki US imeziacha nchi za EU!
Huenda ukawa mwisho wa NATO.
Mshindi ndiye huandika historia. Deep down Trump hitler atakuwa shujaa kwake ndiyo maana mshikaji wake musk alionyesha ishara ya naz na anaunga mkono chama cha afd.Trump ana matatizo.
Hata ulaya ishahstuka. Anayekwenda kuwa chancellor wa ujerumani jana kalizungumzia hili ka nato kufaSi rahisi kiivyo,ukitaka kujua rudi katika historia,jua sababu za kuundwa kwake.
wewe akili kumbe huna!Wewe unaijua North Korea. North Koreani nchi ya hovyo sana. Maisha yao huenda ni mabaya kuliko jehanamu!!
Wastani wa mshahara kwa north Korea ni kati ya dola 1 na dola 3 kwa mwezi. Hakuna nchi ya namna hiyo nyingine Duniani.
What is the salary in North Korea?
Official Salaries and Real Value
Official salaries in North Korea are very low, typically ranging between 5,000 and 10,000 won per month (equivalent to $1-$3). These salaries are insufficient to meet basic needs, forcing most citizens to rely on the informal market for essential goods.
Sisi pamoja na umaskini wetu, lakini tunawazidi GDP mpaka GDP per capita:
North Korea vs Tanzania: Economic Indicators ComparisonTanzania with a GDP of $58B ranked the 80th largest economy in the world, while North Korea ranked 89th with $43.3B. By GDP 5-years average growth and GDP per capita, Tanzania and North Korea ranked 18th vs 172nd.
Kaona madini ya Ukraine anataka agawane na Putin awatose wale viherehere wengine wa west.US anahiitaji sana NATO ktk operation zake nyingi tu za kijeshi Trump sijui kaona Nini.
Daaaah!Trump anaweza kuigeuza Marekani kuwa nchi ya kikomunisti huyu jamaa. Wamwangalie sana.
Yan wengi huw wanashindw kujiuliza maendeleo hayo ya kiteknolojia hayawez kuja kwa nchi masikin wala yeny uchumi wa katiwewe akili kumbe huna!
NK ana vikwazo, hivyo biashara nyingi anafanya kimagendo so huwezi jua GDP yake kwa sababu huna takwimu halisi....
nchi inatengeneza rocket, satelite, nyuklia, silaha za kila aina, nyambizi, afu unalinganisha na gdp ya tz?
sijui kwanini mnapojadili haya mambo huwa mnajitoa akili, au ndio kuwa brainwashed?
Anaona ya hovyo sababu hayasapoti ushoga.Una maana gani unaposema Marekani ameungana na mataifa ya hovyo?
Putin kamuahidi Russia.!Inasemekana Putin kamuahidi deals za biashara za rasilimali Russia
Na jibichwa lako Hilo unaamini kabisa kuwa mshahara ni $ 1-3 Kwa mwezi.... Wewe ni mpumbafu.....Wewe unaijua North Korea. North Koreani nchi ya hovyo sana. Maisha yao huenda ni mabaya kuliko jehanamu!!
Wastani wa mshahara kwa north Korea ni kati ya dola 1 na dola 3 kwa mwezi. Hakuna nchi ya namna hiyo nyingine Duniani.
What is the salary in North Korea?
Official Salaries and Real Value
Official salaries in North Korea are very low, typically ranging between 5,000 and 10,000 won per month (equivalent to $1-$3). These salaries are insufficient to meet basic needs, forcing most citizens to rely on the informal market for essential goods.
Sisi pamoja na umaskini wetu, lakini tunawazidi GDP mpaka GDP per capita:
North Korea vs Tanzania: Economic Indicators ComparisonTanzania with a GDP of $58B ranked the 80th largest economy in the world, while North Korea ranked 89th with $43.3B. By GDP 5-years average growth and GDP per capita, Tanzania and North Korea ranked 18th vs 172nd.
Ata mpendwa wenu Israel ali vote NoNina maana mataifa ya hovyo.
Marekani ili idump Republic of China na kuiunga mkono People’s Republic of China kwa maslahi yake binafsi wala sio kitu kigeni U.S kutemana na yule anaye onekana ni rafiki yake kwa ajili ya maslahi yake ni kipindi cha hivi karibuni tu ndio wanajifanya wanajali sana kuhusu Taiwan na sababu ni kuwa China imekuwa tishio zaidi kwaoMshindi ndiye huandika historia. Deep down Trump hitler atakuwa shujaa kwake ndiyo maana mshikaji wake musk alionyesha ishara ya naz na anaunga mkono chama cha afd.
Sitoshangaa siku moja US kuside na china. Ni suala la maslahi tu hakuna kizuri wala kibaya bali inategemea unatazama jambo kwa angle gani.
na EU ikiwa na jeshi tujipange kulia , hao wazungu wa ulaya ni wabishi sana , USA aliwalemaza kwa kuwabeba mgongoniKama siyo unafiki US imeziacha nchi za EU!
Huenda ukawa mwisho wa NATO.