fanyen uislam kuwa dini ya amani ili USA mnaedai anafadhiri ugaid akose chakaMarekani aache kufadhili magaidi tuone ,aachane na magaidi kama Israel na ISIS.
Trump kaitosa Ukraine na washirika wake wa Ulaya hadharani.Hakika hizi ni zama mpya, Marekani imeungana na mataifa kadhaa ya hovyo kupinga azimio la baraza la usalama la Umoja wa mataif(UN) lililowasilishwa na Umoja wa Ulaya kulaani uvamizi wa Russia nchini Ukraine na kuitaka iondoe majeshi yake Ukraine.
Hata hivyo azimio hilo limepita kwa wingi ws kura 93 dhidi ya 18 zilizopinga ikiwemo US huku mataifa 65 yakiharibu kura zao.
View attachment 3248382
Ni wewe tu na mawazo yako, dini inajielexa..Mtu kama mweupe ukitaka kumchafua unampala rangi nyeusi.fanyen uislam kuwa dini ya amani ili USA mnaedai anafadhiri ugaid akose chaka
Huyu Mzee anaichukia sana China ila 'role model' wake ni Putin...... anafanya yote hayo akiamini ataweza kuugeuza Ushawishi wa Urusi kutoka China kurudi kwa US, amesahau kuwa taifa lake (US ) na Urusi ni mahasimu wa kihistoria.Trump anaweza kuigeuza Marekani kuwa nchi ya kikomunisti huyu jamaa. Wamwangalie sana.
US na Russia ni mahasimu kweli, lakini wote ni superpowers wa Dunia.Huyu Mzee anaichukia sana China ila 'role model' wake ni Putin...... anafanya yote hayo akiamini ataweza kuugeuza Ushawishi wa Urusi kutoka China kurudi kwa US, amesahau kuwa taifa lake (US ) na Urusi ni mahasimu wa kihistoria.
Trump ana matatizo.
Duh ila nchi yetu ni fukara aiseeeee..GDP ya 58 billion USDβ¦..?Wewe unaijua North Korea. North Koreani nchi ya hovyo sana. Maisha yao huenda ni mabaya kuliko jehanamu!!
Wastani wa mshahara kwa north Korea ni kati ya dola 1 na dola 3 kwa mwezi. Hakuna nchi ya namna hiyo nyingine Duniani.
What is the salary in North Korea?
Official Salaries and Real Value
Official salaries in North Korea are very low, typically ranging between 5,000 and 10,000 won per month (equivalent to $1-$3). These salaries are insufficient to meet basic needs, forcing most citizens to rely on the informal market for essential goods.
Sisi pamoja na umaskini wetu, lakini tunawazidi GDP mpaka GDP per capita:
North Korea vs Tanzania: Economic Indicators ComparisonTanzania with a GDP of $58B ranked the 80th largest economy in the world, while North Korea ranked 89th with $43.3B. By GDP 5-years average growth and GDP per capita, Tanzania and North Korea ranked 18th vs 172nd.
wewe akili kumbe huna!
NK ana vikwazo, hivyo biashara nyingi anafanya kimagendo so huwezi jua GDP yake kwa sababu huna takwimu halisi....
nchi inatengeneza rocket, satelite, nyuklia, silaha za kila aina, nyambizi, afu unalinganisha na gdp ya tz?
sijui kwanini mnapojadili haya mambo huwa mnajitoa akili, au ndio kuwa brainwashed?
Ni mpumbavu plusNa jibichwa lako Hilo unaamini kabisa kuwa mshahara ni $ 1-3 Kwa mwezi.... Wewe ni mpumbafu.....
Unauliza hili swali wewe kama nani? π‘π‘π‘π‘Una maana gani unaposema Marekani ameungana na mataifa ya hovyo?
Kama mimi.Unauliza hili swali wewe kama nani? π‘π‘π‘π‘
Wamarekani wanamlaumu Sana Donald Trump kwa Uamuzi wake huu.Hakika hizi ni zama mpya, Marekani imeungana na mataifa kadhaa ya hovyo kupinga azimio la baraza la usalama la Umoja wa mataif(UN) lililowasilishwa na Umoja wa Ulaya kulaani uvamizi wa Russia nchini Ukraine na kuitaka iondoe majeshi yake Ukraine.
Hata hivyo azimio hilo limepita kwa wingi ws kura 93 dhidi ya 18 zilizopinga ikiwemo US huku mataifa 65 yakiharibu kura zao.
View attachment 3248382
Ingia hapo 7eleven ucheze toto na keno wewee ππ π€£Kama mimi.
Hiyo ndio michezo gani?Ingia hapo 7eleven ucheze toto na keno wewee ππ π€£
Wanajamvi petition asee magonjwa Mtambuka aache kutumia picha ya Abdul nondo kwenye id yake. Anamshushia dogo heshima.Hiyo ndio michezo gani?
Siachi.Wanajamvi petition asee magonjwa Mtambuka aache kutumia picha ya Abdul nondo kwenye id yake. Anamshushia dogo heshima.
Sikujua kuwa Rais wa US ana power kubwa mno kiasi cha ku-influence foreign policy na kuigeuza nyuzi 180! Power ambayo nailinganisha na dictatorship.
Udikteta kivipi wakati katiba yao ndio imempa Rais mamlaka makubwa katika sera za mambo ya nje, ubalozi, majeshi na ujasusi wa nje ya nchi??Sikujua kuwa Rais wa US ana power kubwa mno kiasi cha ku-influence foreign policy na kuigeuza nyuzi 180! Power ambayo nailinganisha na dictatorship.
Hapana. Ulaya ndiyo inaihitaji US mno katika masuala ya ulinzi. Ndio maana UK naye kapunguza kiwango cha misaada inachotoa ili kuongeza bajeti ya ulinzi baada ya kuona ulinzi wa US una mashaka.US anahiitaji sana NATO ktk operation zake nyingi tu za kijeshi Trump sijui kaona Nini.