Marekani yaungana na Russia, Korea Kaskazini na Belarus kupinga azimio la Umoja wa mataifa kulaani uvamizi wa Russia

Udikteta kivipi wakati katiba yao ndio imempa Rais mamlaka makubwa katika sera za mambo ya nje, ubalozi, majeshi na ujasusi wa nje ya nchi??
Wazungu wanasema if it walks like a duck, talks like a duck, it probably is a duck. Trump anafanya mambo ambayo yanafanywa na madictator. So nikimfananisha na dictator sijakosea hata kama anachofanya karuhusiwa na katiba. Nyerere alisema katiba yetu ilivyo inaweza kumfanya Rais awe dictator akiitumia vibaya. Nani alitegemea maishani mwake US apige kura sawa na Russia na North Korea?? Yaani US awe kundi moja na nchi hizi 4 against the world? Maajabu. Sitashangaa Trump asimalize term yake.
 
Marekani Hana rafiki Wala adui wa kudumu
 
Hapo Mchina ni full kukenua tu😁jinsi Trump anavyoiharibu US.
Wajinga kama nyie ndio mnaona Trump anaiharibu US lakini yeye anajuwa anaijenga nchi yake ustawi wa raia wake. Wajinga mpo wengi
 
Trump katika utawala wake, vita zitatulia duniani.

Kwa nje ni Trump, Kwa ndani ni Mungu .
 
Bado sijamuelewa huyu aliyecompare Ungindoni na Pyongyang. 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…