superphoto
Member
- Aug 17, 2024
- 51
- 79
Kamsaidie aondokane namatatizo. Wamarekani wanamsemo wao, huwa hawana aduwi wa kudumu wala rafiki wa kudumu.Trump ana matatizo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamsaidie aondokane namatatizo. Wamarekani wanamsemo wao, huwa hawana aduwi wa kudumu wala rafiki wa kudumu.Trump ana matatizo.
Wazungu wanasema if it walks like a duck, talks like a duck, it probably is a duck. Trump anafanya mambo ambayo yanafanywa na madictator. So nikimfananisha na dictator sijakosea hata kama anachofanya karuhusiwa na katiba. Nyerere alisema katiba yetu ilivyo inaweza kumfanya Rais awe dictator akiitumia vibaya. Nani alitegemea maishani mwake US apige kura sawa na Russia na North Korea?? Yaani US awe kundi moja na nchi hizi 4 against the world? Maajabu. Sitashangaa Trump asimalize term yake.Udikteta kivipi wakati katiba yao ndio imempa Rais mamlaka makubwa katika sera za mambo ya nje, ubalozi, majeshi na ujasusi wa nje ya nchi??
Marekani Hana rafiki Wala adui wa kudumuHakika hizi ni zama mpya, Marekani imeungana na mataifa kadhaa ya hovyo kupinga azimio la baraza la usalama la Umoja wa mataif(UN) lililowasilishwa na Umoja wa Ulaya kulaani uvamizi wa Russia nchini Ukraine na kuitaka iondoe majeshi yake Ukraine.
Hata hivyo azimio hilo limepita kwa wingi ws kura 93 dhidi ya 18 zilizopinga ikiwemo US huku mataifa 65 yakiharibu kura zao.
View attachment 3248382
Wajinga kama nyie ndio mnaona Trump anaiharibu US lakini yeye anajuwa anaijenga nchi yake ustawi wa raia wake. Wajinga mpo wengiHapo Mchina ni full kukenua tu😁jinsi Trump anavyoiharibu US.
Bado sijamuelewa huyu aliyecompare Ungindoni na Pyongyang. 🤔wewe akili kumbe huna!
NK ana vikwazo, hivyo biashara nyingi anafanya kimagendo so huwezi jua GDP yake kwa sababu huna takwimu halisi....
nchi inatengeneza rocket, satelite, nyuklia, silaha za kila aina, nyambizi, afu unalinganisha na gdp ya tz?
sijui kwanini mnapojadili haya mambo huwa mnajitoa akili, au ndio kuwa brainwashed?