Nianze kwa kusema kuwa NMB ni Benki inayopendwa na Watanzania wengi kuliko Mabenki mengine yote. Katika Tawi la NMB - Buzuruga kuna matatizo makubwa.
(1) Kuna madirisha 6 ya kuwahudumia wateja lakini madirisha 2 au moja ndiyo kila siku inafanya kazi. Mteja anaweza akapanga foleni kwa muda wa saa nzima hata saa moja na nusu.
(2) Pamoja na madirisha hayo mawili kufanya kazi kila mara nyingi utamkuta teller ametoka na hivyo kuwafanya wateja kusubiri kwa muda mrefu.
Inawezekana kuwa uongozi wa pale ndiyo tatizo hivyo tunaomba marekebisho yafanyike ili wateja wafurahie huduma ya benki ambayo kwa kweli ni benki ya wanyonge.