sijui umekula maharage ya wapi wewe!!!? aaaaahhhh! hufai kabisa, hueleweki hata kidogo!Husika na kichwa hapo juu, sababu kuna wengine wamekwisha anza safari.
maskini! unatia huruma.naamin hufahamu kinachoendelea so you better be quit
Husika na kichwa hapo juu, sababu kuna wengine wamekwisha anza safari.
kumbe unajua kuna kujenga hoja!!?Mbona husomek jombaa, jenga hoja basi ueleweke! Inaelekea unapenda sn mipasho? sipo upande huo ndugu, ninaomba ufafanuz kwa nilichouliza tu basi.
Hebu funguka zaidi uweze kupata majibu ya swali lako.
Marekebisho gani yaliyofanywa na nani na kuwaathiri akina nani waliopangiwa vituo gani vinavyohusiana na nini?
Hebu funguka zaidi uweze kupata majibu ya swali lako.
Marekebisho gani yaliyofanywa na nani na kuwaathiri akina nani waliopangiwa vituo gani vinavyohusiana na nini?
yap kutakuwa na mabadiliko subirini list nyingine itakuwa updated soon.