Marekebisho yanayofanywa yataathiri vituo ambavyo watu wamekwisha pangiwa?

Hahaha Mbona unatoka povu hukuchaguliwa nini? Au ume major yale masomo yetu unahis utapigwa panga?
bado hueleweki. watu hawafanani! sio kila anayeingia JF ana matatizo kama yako.
 
naamin hufahamu kinachoendelea so you better be quit
Na kutokufahamu kwetu ndo kunakopelekea watu waweke post na wengine tujuzwe... Sasa kama wewe unawaandikia watu wanaojuwa, what value do you add kwenye minds zao..??

Kama uliona unachokiandika kinajulikana, why uandike...??? Arguments, questions and answers ndo vinasemaga uelewa na uwezo wa akili ya mtu
 
bado hueleweki. watu hawafanani! sio kila anayeingia JF ana matatizo kama yako.

Kutokufanana kwetu ulitakiwa ukuone tangu mwanzo... Na huko ndo kulikokufanya upost ulichokiandika...
1. Hatufanani kwenye kulijuwa jambo hili, then ulitakiwa uweke hayo mabadiriko unayoyazungumzia na yataadhiri watu kwa namna na kiasi gani
2. Unapoweka details za habari unayotaka kuipost, hapo ndo utapata michango ya watu tofauti tofauti, na pengine ungewekewa usiyoyajuwa...
 
Tatizo watu wengine sijui mpoje. Sasa nini kigumu kueleweka hapo katika kuuliza kwake? Anamaanisha anafaham kinachoendelea ila anataka kujua kama hiyo list mpya itabadili mpaka vituo ambavyo tayar wengine walishapangwa au sio. Mm mwenyew jamaa zangu wameshaanza safari from kilimanjaro to mbeya kwaajili ya kuripoti na hawajui wafanye nn
 
Basi pita kule bro km suala halina umuhimu kwako tusilumbane jadili hoja, kapige book ndo uje unipinge acha mipasho
 
Nafikir ili mtu kujiunga JF inabid afanyiwe interview mi nimeuliza swal stil watu wanataka tena mim nijibu mi pia nashindwa kuwaelewa hawa jamaa
 
Na kutokufahamu kwetu ndo kunakopelekea watu waweke post na wengine tujuzwe... Sasa kama wewe unawaandikia watu wanaojuwa, what value do you add kwenye minds zao..??

Kama uliona unachokiandika kinajulikana, why uandike...??? Arguments, questions and answers ndo vinasemaga uelewa na uwezo wa akili ya mtu

Dah! Umeuliza umeuliza maswali ya ajabu sana! Naogopa kusema ni non-sense, mi mwenyewe nimeuliza swali nipate majibu, how cam mbona km mnataka mi ndio nitoe majibu? haiwezekana badala ya mtu kujibu analeta siasa dats y nasema km hujui kinachoendelea piga kimyaa! Wanaojua wajibu ili na wewe ujue.

Then how come unauliza eti km ninajua kinajulikana why niandike? So km kinajulikana do u mean kila m2 lazima ajue? I think u neeed to think twice b4 u write usikurupuke, Acha kutoa argument zisizo na mashiko.
 
Kutokufanana kwetu ulitakiwa ukuone tangu mwanzo... Na huko ndo kulikokufanya upost ulichokiandika...
1. Hatufanani kwenye kulijuwa jambo hili, then ulitakiwa uweke hayo mabadiriko unayoyazungumzia na yataadhiri watu kwa namna na kiasi gani
2. Unapoweka details za habari unayotaka kuipost, hapo ndo utapata michango ya watu tofauti tofauti, na pengine ungewekewa usiyoyajuwa...

Acha uvivu wa kufikiri kipi hakieleweki? Au ndio leo umeingia forum hii? Una maanisha akili yako haishiki chochote wala kupata idea ya chochote kwa kilicho andikiwa? Big problem aisee
 
Nafikir ili mtu kujiunga JF inabid afanyiwe interview mi nimeuliza swal stil watu wanataka tena mim nijibu mi pia nashindwa kuwaelewa hawa jamaa

Ok. Ngoja tukujibu. YES, ITAATHIRI TENA SANA. KAMA ULIPANGWA KINONDONI BASI UTAPELEKWA SUMBAWANGA VIJIJINI. Kwa maelezo zaidi nenda kaulize Tamisemi Dodoma
 
Hahaha nakushukuru katibu mkuu wa jf kitengo cha elim
 
Dah! Umeuliza umeuliza maswali ya ajabu sana! Naogopa kusema ni non-sense, mi mwenyewe nimeuliza swali nipate majibu, how cam mbona km mnataka mi ndio nitoe majibu? haiwezekana badala ya mtu kujibu analeta siasa dats y nasema km hujui kinachoendelea piga kimyaa! Wanaojua wajibu ili na wewe ujue.

Then how come unauliza eti km ninajua kinajulikana why niandike? So km kinajulikana do u mean kila m2 lazima ajue? I think u neeed to think twice b4 u write usikurupuke, Acha kutoa argument zisizo na mashiko.

Ahahahaaaa eti unaogopa kusema non-sence.... Ushasema hvyoooo... Na ndo dalili ya kuishiwa hoja...

Wanasemaga mtu akikushinda kwa hoja jitahidi kumpeleka kwenye kejeli ili umtoe kwenye track... Hutaweza, situkanagi wala kumkashifu mtu... UNAPELEKEWA HOJA AHADI UNAANZA MATUSI NA KEJELI
 
Tatizo watu wengine sijui mpoje. Sasa nini kigumu kueleweka hapo katika kuuliza kwake? Anamaanisha anafaham kinachoendelea ila anataka kujua kama hiyo list mpya itabadili mpaka vituo ambavyo tayar wengine walishapangwa au sio. Mm mwenyew jamaa zangu wameshaanza safari from kilimanjaro to mbeya kwaajili ya kuripoti na hawajui wafanye nn
Shida kubwa hajaweka details halafu anaambiwa anabisha tu.... Marekebisho gani yanayofanywa..?? Na athari ni zipi..??
 
Ahahahaaaa eti unaogopa kusema non-sence.... Ushasema hvyoooo... Na ndo dalili ya kuishiwa hoja...

Wanasemaga mtu akikushinda kwa hoja jitahidi kumpeleka kwenye kejeli ili umtoe kwenye track... Hutaweza, situkanagi wala kumkashifu mtu... UNAPELEKEWA HOJA AHADI UNAANZA MATUSI NA KEJELI

Hivi ni kitu kip cha kuleta malumbano mbona mgumu kuelewa ndugu? Kama huelew kaa kimya utaeleweshwa broo! Dah shida kwel kweli.
 
Shida kubwa hajaweka details halafu anaambiwa anabisha tu.... Marekebisho gani yanayofanywa..?? Na athari ni zipi..??

hukifirishi kichwa chako so usitegemee kuelewa kitu. Wajuzi watakujuza na km unaliza hivyo inaelekea haupo current and it will be very difficult to put u on th trck
 
Its only art au na sayans? Mmmh kuna watu wamesoma PHYSICS , MATHEMATICS But wameandikiwa History, kiswahili
 
Basi pita kule bro km suala halina umuhimu kwako tusilumbane jadili hoja, kapige book ndo uje unipinge acha mipasho
ujinga ni moja ya maadui wakuu wa maendeleo, kwa mujibu wa nyerere. adui huyo anakusumbua sana. pole!
 
Back
Top Bottom