Marekebisho:

Marekebisho:

SUTE

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
301
Reaction score
232
Baadhi ya misemo inahitaji marekebisho kama vile,
"Maji ukiyavulia nguo"
[HASHTAG]#Ukiyaona[/HASHTAG] hayatoshi unavaa unayaongeza kwanza.
# Ukiingia muamala ghafla, unavaa unaenda kuu-download kwanza.

Ongeza misemo inayohitaji marekebisho tui-edit!
 
eti mtaka cha uvunguni sharti ainame
thubutu inua kitanda
 
Usiku wa Deni haukawii kucha.
Usiku wa Deni utumie kutoroka.
 
Mkataa pema kaona hakuna posho aliye juu mpandilie juu hukohuko
 
Back
Top Bottom