"Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu" Ina maana gani kwenye hii barua ya TEC?

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Kuna hii barua ya TEC kuwataka wakatoliki kumuombea kiongozi wao mkuu Papa Francis... Wamenichanganya na maandishi yanayosema "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu". Kwa kuwa imetajwa nchi yetu ndo nimetaka kujua zaidi Maria ahusike kuilinda.
 

Attachments

  • FB_IMG_1740305941394.jpg
    34.6 KB · Views: 1
Kaa kwa kutulia mambo yasiyokuhusu
 
Ni mwanamke yeyote aliyeolewa akiwa na bikra yake
 
Ni ibada za mizimu tu kama matambiko mengine
 
Itapendeza majina ya watakatifu yawe na vinasaba vya Afrika.Mfano Igulu(mwanamalundi),Kishimba,Mkwava nk.kuliko kutukuza majina ya kigeni tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…