DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Maria Paulo Mkazi wa Maswa akielezea furaha yake baada ya ombi lake la kupiga picha ya selfie kukubaliwa na Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyewasili mapema leo kwa ajili ya mkutano wa Kampeni.
Bi. Maria alifikisha ujumbe huo kwa njia ya maandishi yaliyochorwa kwenye ungo ‘Mama Samia Maswa tunaomba Selfie na wewe’.
Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya tukio hilo Bi. Maria amewaomba Watanzania kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025.